Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habarini za Leo ndugu na marafiki. Leo nimekuja na sifa ambazo viongozi wakuu huzizingatia wakati wa kuteua wasaidizi wao. Mfano Rais anapochaguliwa tu, moja ya jukumu lake huwa ni kuteua...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kitendo cha Wabunge wa CHADEMA kuapishwa Dodoma chini ya kiongozi mkongwe na mwenyekiti wa Bawacha ni kujitenga na falsafa za Tundu Lisu za kususa na "kugomea" Kitendo cha ACT Wazalendo kujiunga...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Inatajwa kwamba huyu ni miongoni mwa wanasiasa wanne tu maarufu zaidi kwenye siasa za nchi hii, wengine ni Mwl Nyerere, Edward Lowassa na Maalim Seif Shariff Hamad. Taarifa zaidi zinadokeza...
18 Reactions
82 Replies
9K Views
WanaKigoma, Huu ni ujumbe mahususi kwa Mhe Dkt Magufuli kwa heshima aliyotuonesha, aliyotupatia kufuatia uteuzi wa wasaidizi wake kwa nafasi ya uwaziri ambapo Wizara ya Fedha kamuteua Isidory...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii ndio taarifa iliyozagaa Mkoani Pwani baada ya Jeshi la Polisi Mkoani humo kumkamata kwa style ya kumteka Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mh Mathayo Torongei na kumnyima dhamana kwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hizi twita ni za leo za Kigwangalla. “Bilionea hawezi kuwa na roho ya kichawi namna hiyo; mkopo umemnyima mtu halafu unamtangaza, why? Kwani yeye huwa hakopi?” Hamis Kigwangalaah. “Waambie...
4 Reactions
80 Replies
10K Views
Wengi wetu tulitegemea mawaziri wataapishwa kesho lakini kwa bahati mbaya Kamishna wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Halord Nsekela amefariki dunia leo. Kwa ratiba niliyonayo marehemu Nsekela...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu" Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu...
7 Reactions
48 Replies
6K Views
Siasa za Tanzania ni za aina yake ambazo zinaweza kukupa matumaini ambayo hayapo kama huzijui vizuri. Siasa za Tanzania ni kama upepo unaopita ambao hauna madhara yoyote kwa wanaozijua vizuri...
18 Reactions
77 Replies
7K Views
Serikali kupitia Mfuko wa Barabara (Road fund) imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni nne kwa ajili ya kumlipa mkandarasi atakaepatikana ili kuboresha miundombinu ya Jangwani mara...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nikiwa mkazi na mpiga kura wa jimbo la Kawe namshukuru Mungu kwa ajili ya mbunge wetu mpya Dr Josephat Gwajima. Mungu endelea kumbariki na kumtangulia. Wote tuseme Ameni. Maendeleo hayana vyama!
1 Reactions
30 Replies
5K Views
1.Nendeni mkasikilize matatizo ya ya wananchi na mkayafanyie KAZI Kwa unyenyekevu mkubwa. 2. Mtangulizeni Mungu na masilahi ya Taifa huku mkiongozwa na katiba na sii vinginevyo. 3. Mtengenezeeni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Zamani makongamano ya pale nkrumah hall udsm yaliyohusu siasa na maendeleo ya taifa yalikuwa yalikuwa na mvuto kwasababu yalikuwa huru na yasiyo na propaganda Kama ilivyo Sasa. Naangalia...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana...
5 Reactions
58 Replies
9K Views
Hivi sasa mtanzania unaweza kujihesabu kuwa wewe ni mwanachi huru? Labda tutazame tafsiri ya HURU. Kuwa huru maana yake ni kuweza kuongea maoni yako bila ya kuwa na wasiwasi na utawala au watu...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Nampongeza Mh Rais kwa baraza zuri la mawaziri. Baraza lina sura mpya, Vijana wengi na wasomi. Naamini kasi ya kazi na utaalam utakuwa na nafasi kubwa sana katika serikali hii mpya. Rais ateue...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam amepania kuanzisha kanzi data ya ndoa zote ndani ya mkoa ili kuwanusuru wanawake wanaotapeliwa kimapenzi na kudanganywa kwamba wataolewa na kuishia kutumika tu bila...
2 Reactions
212 Replies
20K Views
Mbunge wa Muleba kusini Prof Anna Tibaijuka leo tarehe 3, April 2020 wakati akichangia bajeti ya Waziri Mkuu ameliaga Bunge na kutangaza rasmi kuwa hatagombea tena ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu...
28 Reactions
144 Replies
24K Views
Mimi inaniwia vigumu sana kuamini kwamba viongozi wa vyama vyetu vya upinzani wana uwezo wa kujifunza kutokana na makosa yao ya nyuma. Wangekuwa na huo uwezo, leo hii CHADEMA wasingekuwa...
4 Reactions
110 Replies
9K Views
Back
Top Bottom