Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, John Samuel Malecela amewataka watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika juhudi za kujenga...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Umoja wa Afrika (AU) umezitaka nchi wanachama wa umoja huo kutilia mkazo azimio la kuondoa na kutokomeza silaha haramu ili kuliondoka na migogoro inayolifanya bara hilo kushindwa kusonga mbele...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkoa wa Kigoma ukatili waongezeka, "madanga" kutoka Congo DRC na Burundi waingia Kasulu Mkoa wa Kigoma umetajwa kuwa na kiwango kikubwa cha vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Balozi Marwa M Maswi, Musoma Kususa mara nyingi hakujawahi kuwa suluhisho la mkwamo au mgogoro wa siasa. Hata katika mazingira fulani fulani ambapo mbinu hii imefanikiwa, kufanikiwa huko...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
AFRICA CONTINENT FREE TRADE AREA, hili ni azimio la mkutano wa African Union uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nchini Malawi. Je, Tanzania tulishiriki kwenye mkutano huu muhimu kwa uchumi na...
2 Reactions
1 Replies
913 Views
Wadau wa JF habari zenu. Leo nimewaza hivi ikiwa Mwl Nyerere angestastaafu Urais mwaka 1971 kwa kufuata mihula miwili na baadae kufuatiwa na Oscar Kambona ambaye naye angestastaafu mwaka 1981...
3 Reactions
81 Replies
8K Views
Wakili wa kujitegemea, Profesa Abdallah Safari ameishauri CHADEMA kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya uhalali wa ubunge wa makada 19 wa chama hicho walioadhibiwa baada ya kwenda kuapa kuwa wabunge...
12 Reactions
66 Replies
7K Views
Kiukweli ukipita humu mitandaoni utaona namna wafuasi wa CHADEMA walivyoumia kwa sababu tu ACT-Wazalendo wamejiunga na SUK huko Zanzibar. Binafsi najiuliza kwanini waumie wafuasi wa CHADEMA...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Wadau naomba kufahamu naibu waziri wa habari, utamaduni na michezo ndg Juliana Shonza alipo. Alitia nia? Ikawaje? Au anapitia viti maalumu? Au ndiyo kusema wizara hii imepoteza waziri na naibu...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
Nimeiona hii Press Release kutoka kwa Mh Prof Mbarawa na nimeshangaa. Eti Waziri amesitisha vibali vya kujenga miradi ya Maji kwa vile makandarasi wengi ni wezi wa fedha za umma! Namshangaa prof...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Jimbo la Tigray Ethiopia kuna vita wanasiasa wakora wanataka kujitenga, jimbo la Kaduna kule Nigeria wakora wanataka kujitenga, kule Kabregado Msumbiji wanataka kujitenga, Katalunha Hispania...
8 Reactions
63 Replies
7K Views
Kwamba Maalim Seif anakwenda ACT? Yes si habari ya kustusha bali ni aina na misimamo na hulka za msingi za ACT hasa kiongozi wake. Maalimu anaweza kujiunga chama chochote kinachojiandaa kushika...
16 Reactions
87 Replies
15K Views
Na Mwamba wa Kaskazini Wakati fulani unajiuliza hivi leo ghafla tu unawapa wapinzani hawa wa leo nchi waiongize itakuwa vipi? Je, si ndio mtu kama Mbowe atakimbilia Hazina kuchota harakaharaka...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa mtu mwenye akili za chini, atamsifia Rais Magufuli kwa kutangaza kwamba mwaka huu hatutakuwa na sherehe za uhuru ili kuokoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya Dodoma. Kwa mtu mwenye...
30 Reactions
114 Replies
8K Views
Habari ndo hiyo, hiyo miamba hapo juu ndo tafsiri haswa ya mpinzani wa nchi hii ni nani. Ambaye hataki na anabisha kwa nnachokisema, aende akameze boga, akifanikiwa kulimeza basi mimi ni muongo...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Huu ukisio wa ACT kujiunga hauhusiani na majanga yaliyofanywa na CCM katika uchaguzi uliovurugika na kufunikwa na mauaji na mateso ya kila namna, tena wala msifikirie kuwa damu zilizopotea...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Dec 6 2020 ni siku ambayo makamanda ghafla walipatwa na gonjwa la ajabu linaloitwa ACT-Wazalendo ndani ya SUK, kila mmoja alianza kutukana kujiapiza kusema maneno yasioeleweka ,kumtukana Abdul...
4 Reactions
4 Replies
969 Views
Meneja Utekelezaji wa Nssf ndugu Cosmas Sassi amesema wameanza kuhakiki majina ya wastaafu wote ikiwa ni hatua ya kutekeleza maagizo yote yaliyotolewa na Rais Magufuli. Kadhalika wastaafu wote na...
6 Reactions
105 Replies
21K Views
Nadhani mpaka sasa mmeshajionea maajabu na undumilikuwili wa wanasiasa wetu, hivyo ni jukumu lenu kuamua kama demokrasia mnayoipigania ndio imewewaka wanasiasa wetu madarakani au laa, na kisha...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Mwenzako akinyolewa we tia maji, ndio wahenga walisema. Leo tumeshuhudia jambo moja la ajabu sana kwenye historia ya Tanzania, Zitto Kabwe na chama chake pamoja na kutuaminisha kuwa watu...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Back
Top Bottom