Serikali imefanya uwekezaji mkubwa sana kwenye serikali mtandao kwa kuweka e-Services kwenye taasisi mbalimbali ila zipo changamoto zinazokwamisha malengo ya mradi huu;
1. Top management wa Idara...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amewataka Wakazi wa Mkoa wa Lindi kuchangamkia fursa za utalii zilizopo katika mkoa huo.
Ameyasema hayo leo wakati alipotembelela Hifadhi ya...
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black...
Hawa wanasiasa wawili hawatawasahau Watanzania katika maisha yao yote!
Tundu Lissu alikuja nchini na ''mkwara mzito'' aliouanzia akiwa nje ya nchi alipokuwa anatoa hotuba mara kwa mara kwa...
Nimeshangazwa na majibu ya mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe aliyoyatoa kwenye mtandao wa twitter.
Zitto alikuwa akimjibu mwananchi mmoja aliyekuwa akionyesha frustrations zake...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewataka Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Wastahiki Meya, Makatibu Tawala na Wakuu wa Idara kuhakikisha wanasimamia kikamilifu majukumu yao ikiwa...
Congratulations to H.E @MagufuliJ, on the re-election as the #President of #Tanzania. #Israel is committed to enhancing the existing bilateral relations in Agriculture, Health, Water Mgnt...
Anasema ile sheria inayozuia mtu asiye mwalimu mkuu kuadhibu wanafunzi kwa viboko imekosewa.
Rais Magufuli amesema haya...
Nilikuwa nazungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, nikamwambia ulitakiwa...
TUUTATHIMINI USHIRIKIANO WETU NA ISRAEL.
Kuna haja ya kutathmini uhusiano wetu na Israel. Na ikiwa tunataka mashirikiano na Taifa hilo lisilo na mipaka rasmi ya kijiografia, ni vema tukawa na...
Kwanza kabisa naomba kukiri kwamba mimi ni miongoni mwa wafanyabiashara wa Tanzania wanaofanya biashara za Kimataifa kwa Mafanikio , hivyo nafahamu biashara hasa na najua kwamba sisi...
Mhe. Halima Mdee na wabunge wenzake 18 wa Chadema waliopatikana kwa njia ya viti maalum wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kula kiapo jijini Dodoma hivi karibuni
Halima Mdee, alikuwa...
Tumehamia Dodoma.
Ndoto ya muda mrefu imetimia. Mji wa Kiserikali utakuwa eneo linaloitwa Mtumba.
Kwa maana ya neno "mtumba" ni kitu kilichotumika sio kipya anuani zote za serikali kuonekana...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua Bwana Suleiman Ahmed Salum kuwa Katibu wa Rais.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la...
Habari wanajamvi!
Tukumbuke ni kitambo sisi tangu uchaguzi ufanyike tarehe 28/10/2020 ila ukistaajabu ya Mussa unaweza kuyaona ya Firauni.
Nasikia kuna viongozi bado wanajizungusha tu mitaani...
Mtangulizi wako Dkt. Mwakyembe hakuwa na sababu zozote za maana za kutuambia kuhusu kuondolewa kwa Chanel za habari za ndani yaani ITV na Star TV katika king'amuzi cha DSTV hivyo kulazimika watu...
Mabibi na mabwana kwa kuziangalia nchi za East Africa (EA) sisi kama Tanzania tuna kufanana zaidi na Uganda tukijilinganisha na wengine. Labda hata tungefikiria Muungano mwingine nchi ya tatu sasa...
Wanabodi! Iko hivi
Wakati wa janga la Corona shule na vyuo vilifungwa, wamiliki wa Shule Binafsi wakaiambia Serikali kuwa hawana pesa kwa kuwa wazazi hawakulipa ada na kuwa hakuna...
Aliyekuwa mbunge wa Iringa mh Msigwa amewashukia na Seif. Peter Msigwa: "Sisi hatuwashawishi Wananchi ili tupate ajira bali tunataka Demokrasia ifanye kazi, sisi tukitaka ubunge tunapata tu hata...
RAIS John Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, kuwapunguzia mishahara watumishi wote waliokuwa wakifanya kazi Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) ambao umefutwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.