Na Berna Namata
Dodoma, Tanzania
Tanzania haitaagiza kinga ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona, Wizara ya Afya imesema.
Badala yake, msemaji wa Wizara ya Afya Gerald Chami alisema...
Ni wazi tajiri huyu ameitekeleza kwa vitendo Sera ya Tanzania ya Viwanda.
Ni kweli tajiri huyu alikuwa miongoni mwa walipa kodi wakubwa
Inaelezwa kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Chama Cha...
Ukiangalia mpango mzima wa Serikali kuhamia Dodoma mpaka mwaka huu wa 2020 ukiwa unaenda ukingoni kuna taasisi nyingi za Umma bado zinaendesha shughuli zake zikiwa nje ya makao ya serikali wengi...
Wanandugu.
Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa...
Kwa sasa kuna kutoaminiana kati ya vyama shirika katika uchaguzi mkuu wa 2020 nikimaanisha CHADEMA na ACT-Wazalendo. Kila kimoja kinalaumu kingine kwa maamuzi wanayochukua baada ya kufeli katika...
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais...
Eyakuze ni mmoja kati ya Waafrika watatu pekee kwenye orodha hiyo na mmoja kati ya 11 ambao hawako katika utumishi wa serikali.
Taasisi ya Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) inayoshughulika na...
Ukiisoma vizuri katiba ya Zanzibar utagundua kuwa chama kinachotoa makamu wa kwanza wa Rais nacho kinakuwa ni chama tawala na kinatoa Mawaziri wawili muhimu.
Hii maana yake ni kuwa ACT-Wazalendo...
Mwili wa askari wa KVZ aliyejulikana kwa jina la Khalid umepatikana baada ya kuuawa siku ya uchaguzi
=====
Pemba. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba limefanikiwa kuupata mwili wa aliyekuwa...
Siasa Ni mkakati, siasa ni kujua mapungufu ya mpinzani wako, siasa safi nikuweka wananchi mbele nakuzika matamanio binafsi kwa mgongo wa itikadi.
Tangu chadema watoe tamko lakuwafukuza viongozi...
Mnyika anasema...
Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni...
Akiwa mwalikwa kwenye kongamano la haki za binadamu lililoandaliwa kwa ajili ya viongozi wa dini, lililofanyika jijini Dar tarehe 14 mwezi huu, Jaji Warioba alizitaja kasoro kuu 4 zilizojitokeza...
Ni pale , kwa ujumla, ikiwemo uchaguzi Polisi wanapomkamata mtu kisha wakampeleka kwenye kituo cha polisi kisha mtu yule anapotolewa au kuachiwa anakutwa amepigwa sana kiasi ya kuhatarisha maisha...
Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu.
Naye DCI...
DC Magu - "tutawakamata wazazi, walezi na mafataki wote"
Mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Salum Kali amewaagiza viongozi wa vitongoji na vijijini wilayani humo kuwashughulikia watu...
Tuta sema ukweli hata kama ni mchungu.
Huyu Ndugai anayedai kuwa anajua maana ya kufundwa mbona wakati wa kampeni za 2015 alimpiga fimbo ya kichwani mgombea mwenza hadi akazimia na kulazwa...
Mpaka sasa watanzania wengi tupo njia panda maana hatujui kama waliokuwa wanachama wa CHADEMA - 19 ambao walivuliwa uanachama na chama chao bado ni wabunge halali au la?
Jana gazeti la mwananchi...
Kwanza kabisa nataka kukupongeza kwa ushindi wa kishindo ambao umeupata,wewe pamoja na raisi wako wa JMT Raisi JPM kwa ushindi wenu na chama kwa ujumla. Najua unakazi ngumu sana ya kulijenga na...
Air Tanzania Company Limited (ATCL) (Swahili: Kampuni ya Ndege Tanzania) is the flag carrier airline of Tanzania based in Dar es Salaam with its hub at Julius Nyerere International Airport. It was...
Kupanua ukusanyaji na vyanzo vya mapato tutegemee makundi haya kuathirika aidha ndani ya msingi wa sheria ya Kodi au nje ya sheria ya Kodi.
- Wakulima wajiandae kulipishwa Kodi bila kujali umevuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.