Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amvunja bodi ya wakurugenzi wa shirika la meli na uwakala. Taarifa iliyotolewa leo Jumanne Novemba 15, 2020 na katibu kiongozi, Dk Abdulhamid Mzee inaeleza...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Wajumbe GT's hamjambo? Mwenye ufahamu anieleweshe; chanjo ya ugonjwa wa Corona 19 ni lazima au la? Nimeuliza hivyo kwasababu zifuatazo:- 1. Kila mtu anaongea lakwake watu wanashindana kwa...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar. Kigezo ni kwamba CHADEMA na ACT-Wazalendo hawayatambui matokeo...
24 Reactions
154 Replies
12K Views
Tangu awamu ya 5 ya Rais wetu JPM iingie madarakani imekuwa ikitoa kipaumbele kwa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga. Pamoja na malengo mazuri ya serikali kuwasaidia wamachinga...
25 Reactions
102 Replies
13K Views
SAUTI YA ASKOFU SEVERINE NIWEMUGIZI WA KANISA KATOLIKI TANZANIA Mhashamu Baba Askofu Severine Niwemugizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge - Ngara ni miongoni mwa Maaskofu wanaopaza sauti...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
EU na WB KAMA WAMEJIBU WA ZITTO NA LISU.... Na Elius Ndabila 0768239284 Ikumbukwe hivi karibuni baada ya uchaguzi mkuu kufanyika, vyama vya siasa vilivyoshindwa Uchaguzi huo hasa CHADEMA NA ACT...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeona Video ambayo Waziri wa fedha anawaambia watu wa idara zote zinazohusika na ukusanyaji wa mapato ya kodi na yasiyo ya kodi ya serikali kukusanya mapato mengi ili malengo ya serikali ya...
0 Reactions
3 Replies
848 Views
Serikali hii nguvu ambayo mmeipatia TRA kuwa na uwezo wa kushirikia account za bank za wateja (wafanya biashara) na hata kuchukua pesa, muingalie, huenda hiyo nguvu (Authority) wanaitumia vibaya...
19 Reactions
144 Replies
17K Views
Madiwani waonywa kufukuza watumishi MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, amewataka madiwani wa halmashauri zote katika mkoa huo, kutokuwa chanzo cha migogoro kwenye maeneo yao, huku akipiga...
10 Reactions
33 Replies
5K Views
Kosa kubwa ninalo iona kwenye vyama vya upinzani ni tamaa ya kushika dola, kila chama cha upinzani wanadai kuwa lengo lao lakwanza ni kushika dola. Sio lengo baya lakini hakuna chama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu na wenzake walioachiwa huru jana na kisha kukamatwa tena, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu...
118 Reactions
302 Replies
80K Views
Huko Geita Mkurugenzi kasimamishwa kazi. Ni safi sana! Sababu ziko wazi. Pesa za CSR haziwezi kuwa za gari la Mkurugenzi, wakati Shule, Hospitali na Madaraja ni hovyo. Mbaya zaidi ni gari la...
15 Reactions
100 Replies
11K Views
Nilisoma kwenye gazeti kwamba mkuu wetu hawezi kuuwa mtu hata waliohukumiwa kunyongwa. Tujue mpaka mtu ahukumiwe kunyogwa ni kwamba aliuwa binadamu mwingine au wengine. Kama ni kwa sababu ya dini...
24 Reactions
70 Replies
7K Views
Nimesikiliza hotuba ya mh. JPM baada ya kumuapisha Naibu Waziri wa madini Prof. S. E.Manya. Moja ya sababu zilizosababisha kuleta huu uzi ili wana CCM wenzangu ambao wanaweza kutafakari uzi huu na...
18 Reactions
134 Replies
13K Views
Jana tarehe 30 april Ndg Subhash Patel kupitia kwa wakili wake Julius Lugazya kawafungulia kesi wahariri na magazeti yao ya nipashe na guardian, wakurugenzi wa radio uhuru na ITV pamoja na...
1 Reactions
88 Replies
15K Views
"Mwisho wa uchaguzi mkuu mmoja ni mwanzo wa uchaguzi mkuu mwingine" JAKAYA KIKWETE. Je, Rais wetu 2025 awe mtu wa aina na sifa zipi? Hapa chini natoa baadhi kwa maoni yangu (nawe toa yako): Awe...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
HAI, KILIMANJARO Mkuu wa wilaya ya HAI, Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya amemsweka ndani mtumishi wa halmashauri ya wilaya hiyo, Dominica Mwapombe kwa tuhuma za kuendesha mtandao wa kitapeli...
8 Reactions
191 Replies
30K Views
Back
Top Bottom