Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetaifisha mzigo wa madini ya almasi ambao ulikutwa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, ukiwa unasafirishwa kwenda nchini Ubelgiji, wenye...
6 Reactions
80 Replies
12K Views
HAPA JAMAA ANAJITETEA BAADA YA KUTENDA NA KUISIKIA JAMII IKIMURUSHIA MADONGO... Rais John Pombe Magufuli pamoja na kuwa ni aggressive, lakini sijawahi kumwona akishika kiboko kucharaza viboko...
13 Reactions
121 Replies
14K Views
Yapo mambo kimfumo yanaleta ukakasi hasa namna serikali inavyoendesha mihimili mingine. Nimeona DPP akitoka mahakamani Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya Ardhi ambayo kwa mujibu wa hukumu hiyo...
18 Reactions
44 Replies
6K Views
China imejizolea umaarufu Kama Taifa lenye mahusiano makubwa na mazuri na Tanzania. Limeonekana kuwa moja ya Taifa lenye nia nzuri na Tanzania kiasi kwamba Rais wake alipewa fursa ya mazungumzo ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Watunga Sheria wenye vyeti feki 2. Wanaojua kusoma na kuandika 3. Waliowahi kutiwa hatiani kwa makosa ya uhujumu uchumi 4. Waliokataliwa na wananchi majimboni
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Habari wakuu, Msinishambulie wala msinipige. Nashauri serikali ianzishe utaratibu wa kutoa leseni kwa walimu wa astashahada, stashahada, shahada n.k uanzishwe utaratibu maalum ambao utawawezesha...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimemaliza shughuli zangu za kila siku kama ilivyo ada nimechukua gazeti la Mwananchi, nashangaa kukuta hii habari, Waziri mkuu wa nchi yetu ambae ni mkuu wa shughuli za serikali ametoa amri...
19 Reactions
72 Replies
9K Views
Ni takriban miezi miwili sasa toka CWT Nyamagana wakubaliane kununua coaster Kwa ajili ya kusaidia baadhi ya matatizo ya walimu wilayani Nyamagana, wawakilishi walio wengi wamekuwa na walakini...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasalaam, napenda kuanza kwa kunukuu kauli ya mheshimiwa sana amekuwa akitamka Mara kwa Mara kwamba hii nchi tumeibiwa na kuchezewa sana. Mh amesahau ama amevaa miwani ya mbao makusudi ili asione...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa chama cha wenye viwanda ( CTI) Subash Patel amesema wao wanamuunga mkono mh Rais Magufuli katika jitihada zake za kutupeleka kwenye uchumi wa kati. Subash amesema hayo mbele ya...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Kuna kauli zinatolewa na UVCCM za kuua watu, this is HATE SPEACH!!! kwa nini hamchukui hatua?. Mimi nadocument hizi clips zote na natarajia kuziwakilisha kwa Fatou Bensouda kabla ya uchaguzi mkuu...
13 Reactions
92 Replies
15K Views
Miaka 25 ya Ulingo wa Beijing MIAKA 25 nyuma, wajumbe 17,000 kutoka mataifa yote ulimwenguni, na wanaharakati 30,000 kutoka mataifa yote ulimwenguni, walikutana Beijing, Uchina, kwenye Mkutano...
4 Reactions
6 Replies
4K Views
"Polisi wameua watu wawili Liwale kwa sababu ya uchaguzi haukuwa huru na haki sasa CCM kama hamtaki vyama vyingi mtuambie".-Prof. Lipumba. #UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Imeelezwa kwamba mgodi wa North Mara umekiuka Sheria ya Ushirikishwaji wa Watanzania (local content) baada ya kutangaza zabuni nje ya nchi na kupata mzabuni kinyume cha Sheria za Madini. Hayo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa hadi Disemba 31, mwaka huu kuwa ni siku ya mwisho ya utumiaji wa vifungashio vya chupa za maji, karanga au ubuyu, biashara...
5 Reactions
93 Replies
18K Views
Miongoni mwa viwanja vya ndege nchini kati ya 58 Serikali imeshauriwa kuhakikisha viwanja vya ndege nchini vinapata hati miliki za ardhi huku kati ya viwanja 58 nchi nzima ni viwanja vinane tu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa wataalamu wa lugha ya Kiswahili kutumia taaluma yao. Amewaambia wataalamu hao wahakikishe sheria na...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanini kila MTU anajifanya anaweza kuiongoza Tanzania? Habari zenu wanajamii forum.Nimekuwa nafuatilia mijadala ya kila aina hapa JF.Lakini nimegundua kuwa kuna kikundi cha watu ambacho kila kitu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
By Akinyi Lisa Agutu and Munia El Harti Alonso November 23, 2020 A request for the institution of arbitration proceedings against the United Republic of Tanzania (“Respondent”) was registered by...
7 Reactions
39 Replies
6K Views
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga, Mhashamu Anthony Banzi ameitaka jamii kuiheshimu miili ya marehemu kwa kuwapa maziko ya heshima badala ya kuwafunga kwenye viroba na kuwatupa kwenye maji...
16 Reactions
77 Replies
11K Views
Back
Top Bottom