Ni kipi unafikiri kiongozi wa kisiasa aliyepo madarakani au ameajiriwa anaweza akawahamasisha Wananchi kushiriki maendeleo yao?

Brightg

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
366
1,000
Kwa maoni yangu hapa kuna swali fikirishi, tuna miaka 5 mbele yetu ambayo tunaelekea kumaliza siku 60 toka tumalize uchaguzi.

Tulipoanza miaka m5 ya awamu hii tulikuwa na tabia ya kuhesabu siku na kubaini ndani ya siku hizo vitu kadhaa vikiwa vimetekelezwa na kufanyika, kwa kipindi hiki cha pili pia bado tunaendelea kufuatilia na kubaini nini na kipi kimefanyika ndani ya miezi ipi.

Siasa yahitaji mambo mengi sana ili kupata support ya wananchi na wawe nyuma yako katika utekelezwaji.

Niishie hapo tu kuwa tumejifunza mengi na makosa hayata jirudia tena.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom