Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,316
- 8,013
Nimetafakari kwa kina sana, ile Chadema ya Lowasa na hii ya Lissu nikaona kwamba practically Chadema imeshajifia toka uchaguzi uishe, migogoro imekuwa mikubwa sana baina ya viongozi wakubwa kabisa wa chama sababu ya kugeukana.
Historia huwa haidanganyi kamwe. Nimeshuhudia chaguzi karibu zote tangu mfumo wa vyama vingi kuanza. Na nimeshiriki chaguzi kwa miongo 2. Tangu enzi ya kikwete kwa maana ya kupiga kura.
Kila awamu ikiingia kila chama kikuu cha upinzani hufutika na kupotea kabisa. Nlidhani hili halingetokea kwa chadema, ila naona kabisa historia imejirudia tena. Chadema sasa inapumulia mirija, kila mtu hamwamini mwenzake.