Taarifa kwa Umma wa Tanzania juu ya uozo wa chama cha wakuu wa shule (TAHOSSA)

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379

TAARIFA KWA UMMA WA TANZANIA JUU YA MAPUNGUFU YA CHAMA CHA WAKUU WA SHULE (TAHOSSA).

UTANGULIZI.

Ndugu waTanzania na wananchi wa Taifa letu la Tanzania ambao mnapenda kuona chachu kwa mabadiliko ya Taifa, Mimi Deogratius Kisandu nimekuwa Mwalimu wa Sekondari kwa muda mrefu sana kwa shule za serikali na za binafsi, nimejifunza mengi sana kutokana na yaliyojitokeza tangu nimekuwa mwalimu nje ya taaluma yangu ya uanahabari niliyoipata pale Royal College of Journalim miaka ya nyuma . Katika utafiti na ugunduzi wangu kwa miaka mingi, nimekuwa nikitoa malalamiko yangu sehemu nyingi lakini sithaminiwi na kufedheheshwa na wakati mwingine Viongozi kuchukua mawazo yangu na kuyauza na kusema ni yao. Leo najaribu kuleta hoja juu ya Umoja wa wakuu wa shule wa shule za Sekondari Tanzania.

TAHOSSA.

Kwa wale wasio fahamu, TAHOSSA ni umoja wa wakuu wa shule za sekondari Tanzania ulioundwa kwa maslahi ya wakuu wa shule kwa lengo la kusimamia elimu na mambo mengine wanayoyajua wao.

Shule zote za Sekondari za serikali na za binafsi wakuu wake wa shule ni wanachama wa TAHOSSA. Na mfumo wa elimu unapoanguka tunaagalia wakuu wa shule, tuangalie ni wapi tumejikwaa kutokana na mfumo mbovu wa elimu kwa Taifa letu, nimekuwa karibu na rafiki yangu James Mbatia katika swala la ufatiliaji sakata la ubovu wa elimu kipindi cha nyuma ili kujenga elimu bora lakini wadau sio wasikivu katika kujua elimu inahitaji maboresho, leo nitatoa machache sana ila siku tapokutana na wanahabari ndio taongea mengi sana ya kuchambua na kufafanua jinsi tunavyoweza kuinua kiwango cha elimu na nidhamu mashuleni, tatizo sio kufaulisha tu bali pia nidhamu kwa walimu na wanafunzi, unaweza kufaulisha darasa zima kumbe umefaulisha majambazi na mafisadi, kikubwa ni Umakini wa kujua nini tunapaswa kufanya kwa elimu ya Taifa letu kwa watoto wetu na wadogo zetu.

UTAPELI.

Kumekuwepo utapeli ukifanywa na wakuu wa shule takribani kila kona ya nchi, moja ya utapeli huu ni kuwawekea vikwazo walimu wazuri ambao ni waajiriwa na wengine kuwachongea na kuhamishiwa mbali na maeneo walio ili wapotee, lengo kuu la kufanya hivi ni ili waweze kuajiri walimu wa Part time ambao watawalipa pesa kidogo mfano analipwa 60,000/= lakini kwenye muhtasari wa kikao cha fedha inaonesha mwalimu wa part time analipwa 200,000/=, hivyo Mkuu wa shule anapata faida ya 140,000/=. Kwa hiyo tabia hii imekuwa ikitumika mara kwa mara na hata wakuu wa shule kuwakana walimu wao na hata kuwasingizia tuhuma za uongo ili wachukiwe na wananchi na kuuawa au kudhurika.

USIMAMIZI WA MITIHANI NA USAHISHAJI.

Wakuu wa Shule wamekuwa wakipeleka watu wao tu kwenda kusahihisha mitihani ya Taifa au ya Mock kwa maslahi yao, na kama hauna urafiki na mkuu wa shule basi huwezi kupata nafasi hiyo utakuwa unasikia tu wenzio wanaendaga, na kwa walimu wa kike hata uwe mke wa mtu bila kuachia mbunyee(Mapenzi) hupati nafasi hiyo, jambo hili ni moja ya kudhalilisha wake za watu na wachumba za watu.

VIKAO VYA FEDHA VYA SHULE.

Wakuu wa shule hawaitishi vikao vya fedha za shule bali Mkuu ana kaa na mhasibu wake wanapanga bajeti na walimu kuitwa kusaini tu bila kujua anasaini nini, na baada ya hapo wanagawana posho na hakuna taarifa mhimu kwa walimu wote ambao ni watumishi wa shule husika. Tatizo hili linasababisha walimu kuhoji kwa kificho mapato na matumizi ya fedha za shule, walimu wanaogopa kuhoji kwa kuwa wakuu wa shule wanawatisha kuwapelekea barua chafu kwenye mafaili ya halmashauri. Ukimya huu unasababisha uozo katika mfumo mzima wa elimu.

VIKAO VYA BODI ZA SHULE.

Imekuwa mara nyingi Wenyeviti wa bodi za shule na wakuu wa shule wakitumia fursa ya nafasi zao kufanya ukandamizaji kwa walimu na sio kusimama upande wa walimu, mfano mwalimu anadhalilishwa na kijiji badala ya kumtetea wao wanaongeza chumvi za kuangamiza walimu wao bila kujua mwalimu ni hadhina kwao ni mwajiriwa wa umma na wao wanadhamana ya kumlinda iwe kwa mema au kwa mabaya, Bodi na Wakuu wa shule pia imekuwa ni njia ya kujinufaisha kimaslahi na kituo cha kufanyia uchawi wa kunyamazisha walimu na ndio maana Mkuu wa shule anateua baadhi ya walimu kuingia kwenye bodi hasa wale anao wataka yeye kwa maslahi yake na sio kwa maslahi ya shule.

NGONO ZA WALIMU KWA WALIMU.

Nidhamu ya heshima kwa walimu imepungua, walimu wamekuwa wakivunjiwa heshima zao hasa walimu wa kike walio olewa wamekuwa wakijikuta wanapata wakati mgumu wakushinikizwa kufanya mapenzi na walimu wenzao wa kiume kwa vitisho na wengine wamekuwa wakivunjiwa ndoa zao na wakuu wao wa shule ili wawape wake Fulani au walimu Fulani. Tatizo hili limekithiri sana na wakuu wa shule kwao imekuwa kama furaha pale wanapo haribu ndoa za watu.

MICHEZO MICHAFU YA WANAFUNZI WA KIKE.

Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza au wa kidato cha Tano anapofika shuleni anakuwa na tabia nzuri, tena watoto wakike wengine wanakuwa na Chuchu zikionesha bado hawajajihusisha na mapenzi lakini wakiwa mashuleni hapo ndani ya miezi 6 hivi unashangaa chuchu za watoto zimekuwa kubwa au kugeuka maziwa au kuona maziwa yameanguka, hii ni kuwa mtoto mwenye chuchu saa sita anapofikia hatua hiyo maana yake anafanya ngono sana tena ngono zembe, je wanapata wapi muda wakujihusisha na mapenzi, mfano watoto wako bodingi tena wakike tu lakini chuchu saa sita zimegeuka kuwa maziwa, je kuna walimu wanatembea na wanafunzi wao au kuna wanakijiji wanatembea na watoto wetu au kuna nini nyuma ya pazia, ni wapi wajibu wa wakuu wa shule juu ya maadili kwa watoto kisaikolojia au wao wenyewe wanakula kuku na mayai yake? Tujitathimini tulipo jikwaa.

MATATIZO YA WALIMU.

Wakuu wa shule hawana habari na matatizo ya walimu kabisa, wakuu wako bize na pesa na kuwasisitiza walimu kujaza maandalio ya somo, walimu wanakumbwa na matatizo wao wanajisahau kuwa ni sehemu ya kujua tatizo hilo kama limetokea kazini ni swala na mkuu wa kazi kulishughulikia, lakini tumeshuhudia walimu wakichapwa viboko na wananchi na wengine hata kusimamishiwa mishahara kwa uongo wa wakuu wa shule, Wakuu wamekuwa wakitoa taarifa za uongo juu ya walimu wao na kuwasababishia matatizo katika utumishi wao.

WALIMU WENYE VYETI FEKI.

Shule binafsi zimekuwa zikajiri walimu wengi wakiwa wamefoji vyeti vya kitaaluma na hata vyuo vikuu na wao wakuu wa shule hizo wanajua ukweli huo na wanatumia walimu hao kwa kuwa wana walipa mshahara mdogo maana hawana vyeti halali, taifa linaelekea wapi na linakwenda wapi.

WANAFUNZI KUTUMIA MAJINA YA WATU.

Wakuu wa Shule wamekuwa wakienda kinyume na taratibu za kiutendaji za kusajiri wanafunzi kwa kitendo chao cha kupachika watu wengine kutumia majina ya wanafunzi ambao hawajaripoti na wakati mwingine kutumia majina ya wanafunzi ambao wamehama shule au kuacha shule, wamekuwa wakifanya hivi kwa makusudi kabisa huku wakijua wanahatarisha Elimu ya Taifa, pia wamekuwa wakishirikiana na walimu wakuu wa shule za msingi katika kufanya uovu huo wa kuwapa watu wengine majina yaw engine, kitu hiki kinasababisha tunapta viongozi wanaotumia majina ya watu na wenye majina wakiwekewa vikwazo vya kimaisha ili wasiinuke.

WAKUU WA SHULE KUFANYA MAPENZI NA STAAF NZIMA.

Kumekuwepo na kasumba ya wakuu wa shule hasa wakiume kutembea na kimapenzi na walimu wote wa kike haijarishi ameolewa au bado kwa madhumuni ya kumlinda na kumalilza migomo au kupunguza nguvu za kuulizwa maswali au kukosolewa, unyama huu na udhalilishaji unahitaji kufanyiwa kazi.

WALIMU KUTEMBEA NA WANAFUNZI.

Hili limekuwa jambo la kawaida sana katika jamii ya walimu na wanafunzi, usishangae mwanafunzi anabeba mimba ya mwalimu na ukimya ukatawala. Shule chafu huongozwa na Mkuu mchafu ambaye kimwili anaonekana msafi lakini kimatendo ni takataka na tapeli. Serikali inapaswa kumlika jambo hili kwani kuna wakuu wa shule wanajihusisha na mapenzi na wanafunzi na wanapo wapa mimba wanafunzi husingizia walimu dhaifu ili wawabebee mizigo ya kesi zao. Huko kwenye vikao vy aTAHOSSA sijui kama huwa wanafundishana pia wajibu wao na maadili kama mkuu wa shule.

MADAI YA WALIMU CWT.

Pia kumekuwepo na madai feki ya walimu ambayo yamekuwa yakitengenezwa na wakuu wa shule wakishirikiana na ofisi za utumishi ili kujinufaisha na hali hii inasababisha hasara kwa serikali maana hawajui kinachoendelea.

MIKOPO YA WALIMU KWENYE MABENKI.

Kuna michezo imekuwa ikichezwa na maafisa UTUMISHI wakishirikiana na WAKUU WA SHULE pale mwalimu anapohitaji mkopo benki husika huambiwa wapandishe makato mfano mwalimu anakatwa 150,000/= kwa miezi 60 hivyo kwenye karatasi ya ankara itasoma anakatwa 150,000/= lakini kwenye system inaonesha anakatwa 100,000/= hivyo ile 50,000/= wao maafisa wa benki na maafisa utumishi na wakuu wa shule wanagawana ratio yao na inakuwa ni siri kubwa sana, wakati mwingine mwalimu anapewa mkpo wa 10,000,000/= lakini anawajibika kutoa 3,000,000/= kwa maafisa utumishi na maafisa wa benki pamoja na mkuu wa shule ili mkopo wake uwahi kutoka na wengine hata hawana sifa ya kukopa wanapata sifa ya kukopa kwa wizi huo unaofanywa na wanachama wa TAHOSSA. Na ndio maana walimu wana maisha magumu sana bila kujua wakuu wao wa shule ndio wanayasababisha.

WALIMU KUFATA MIDA YA KAZI.

Wakuu wa shule wamekuwa na njia moja tu, kuwasisitiza walimu kuwahi kazini kwa muda muafaka na kuwatishia kuwafukuzisha kazi, huku wakiwashinikiza kuaandaa maandalio ya masomo kwa kuwatishia wakaguzi wakija watakiona cha moto, lakini lengo ya yote ni kutaka walimu wasipate hata nafasi ya kufikiri au kuwaza juu ya maisha yao na familia zao, kwani mwalimu anaweza kufanya hayo yote lakini asifundishe ipasavyo.

"Nani alaumiwe kwa haya, hatuwezi kuilaumu Serikali kupitia TAMISEMI na WIZARA YA ELIMU kwa kuwa tayari serikali imeteua wawakilishi wake ambao ni WAKUU WA SHULE na ndio waliounda umoja wao uitwao TAHOSSA, hivyo wa kulaumiwa ni TAHOSSA."

index.jpg

Mimi ni mwalimu mwenye Jina langu halisi ambaye sijafoji vyeti wala kuiba jina la mtu, nina simama imara kutetea Elimu kwa taifa letu ili kuokoa kizazi hiki na kijacho, nasema haya huku wengine wameshaanda kufungua kesi yoyote ya kuniweka sello ili kunifanya niache kusema ukweli, japo ukweli unauma lakini taendelea kusema ukweli, mimi ni Deogratius Nalimi Kisandu, ni Mwalimu Shule ya Sekondari Mkolani -Mwanza, pia nimewahi kuwa Mwalimu wa Induction course-Nzega 2007-2012, shule binafsi nilizopita ni pamoja na Spiritual Guide Teacher- Sr. Irene sekondari-Kahama, Shinyanga, ninaandika haya kutokana na mazingira ambayo nimeyaona katika shule ambazo nimezifanyia Reseach binafsi na zile ambazo nimewahi kuwa mtumishi maeneo hayo, hivyo haya ni maoni yangu kwa mjibu wa katiba ya Nchi ibara ya 18. Naomba kutoa hoja na wala nisichukuliwe vibaya. Maana kitabu changu cha "KOSA LA NCHI" kimebeba haya pia na kina mambo mengi sana na haya ni kiduchu sana, wakati ukifika nitaanza kuprint na kuzindua. Kitabu hicho kimebeba idara zote ikiwemo Afya, ustawi wa jamii, madini n.k "Kwanini nikae kimya wakati Nchi inaozaaa, Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko"

DEOGRATIUS NALIMI KISANDU
Mtemi Kiongozi wa Chama cha ACA tarajiwa.
 
Kisandu ndugu yangu, mbona mambo mengi uliyoandika yamekaa kiumbea zaidi? Acheni kuwakatisha tamaa wakuu hawa wanaofanya kazi kwa bajeti finyu kabisa. Mimi nilikuwa mwalimu huko na mkuu wa shule pia hivyo naelewa hizi politics unazoongea hapa. Mengi huwa ni majungu tu.
 
Mkuu kama huna FRUSTRATIONS fulani basi una MTINDIO WA UBONGO!

Habari yako hai-reflect kabisa ulichoandika katika kichwa ch habari.

Acha kulipuka!
 
kila bandiko lako ninaloliona ni kulalamika tu,nahisi una teachers stress mkuu,fanya hivi
i)Acha majungu
ii)Fanya kazi nyingine za ziada ambazo zitakuweka bize pia kukuingizia kipato
iii)kumbuka watu wapo bize na ishu za NAPE Kwa sasa

View attachment 485582

ushahidi p/se,naomba chq no.yako,TSD NO.nikuamini na tuzungumze!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yaani huyu jamaa pamoja na Magu.....ndo wanatufanya Wasukuma tuonekane kama hazitutoshi vile!! Umeongea mambo mengi lakini yamejaa umbea utafikri ameandika Mwajuma binti wa Kizaramo msasambuaji!! Lakini wewe si ulipigagwa BAN na DED wa Nyamagana kuhusu kutumia mitandao ya kijamii?
 
Kuna siku tulikaa wote bar moja pale Lushoto, niliongea nawe kama nusu saa hivi, aisee nilikuonea huruma sana Kisandu, maana nilijiridhisha kabisa kwamba una tatizo kubwa mno Psychologically! Hiyo ilikuwa 2012.
Sasa Tangu siku hiyo hadi Leo sioni mabadiliko. Pole sana. Huwa najiuliza, hakuna ndugu zako wanaoweza kusaidia matibabu? Maana kwa hakika ukipona unaweza kuwa na faida kubwa tu. Asante.
 
Back
Top Bottom