Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahimu Juma amewataka mawakili 166 wapya walioapishwa leo kuziishi kanuni na maadili akiwataka kuwajibika kwa mujibu wa Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama...
Mwaka 2020 utakumbukwa sana katika historia ya bunge kwani katika mkutano mmoja wa bajeti wabunge watatu walifariki.
Rip Dkt. Rwakatale, Rip Ndassa, Rip Dkt. Mahiga
Kadhalika 2020 tumeshuhudia...
Sijasikia zuio la mikutano katika awamu hii ya pili ya Mzee Magufuli. Ila wapinzani wameendelea kufurahia zuio maana liliwapa unafuu wa maisha na wajibu.
Jinsi mataifa ya nje yanavyotutolea macho...
Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi.
Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu...
Sera ya sasa ya elimu na mafunzo inayolenga kutoa elimu ya msingi kwa wote "Universal Primary Education For All" ni sera mbovu inayozalisha matatizo nchini.
Awali, sera ya elimu ililenga kutoa...
Ni miaka karibia mitano sasa viongozi wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na hakuna kiongozi wa kisiasa wa juu anayekemea Jambo linaloashiria wahusika wanatekeleza msimamo wa serikali...
Ninaliona tatizo kubwa la kimawasiliano kati ya mbunge jimboni na mbunge bungeni.
1. Hebu jiulize, mmbunge wako wmamewahi kufanya mikutano mingapi jimboni kusikiliza kero za wananchi? Na je...
Uongozi wa kanisa la Philadelphia Gospel Assembly, kupitia Kamati Kuu na Halmashauri Kuu imemtunukia tuzo ya uongozi Rais Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wake...
Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Edwin Mhede amepokea orodha ya huduma za malazi iliyoboreshwa 2020 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki ili kuiwezesha TRA kukusanya...
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa...
Wanachama 20 wa CHADEMA wanaendelea kusota rumande katika gereza la Kisongo baada ya wakili wa serikali mkuu Bwana Chavula, kueleza kuwa mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi haina mamlaka ya kutoa...
Serikali yangu, Salaam!
Dhamira yenu kuhusu katika utawala wenu kuongeza mabilionea wapya ni nzuri, endelevu, zenye baraka. Lakini huenda dhamira na nia zenu zisilete matokeo chanya pale...
Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu...
Hivi hawa IDU wana mamlaka gani ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania? Wao ni akina nani?
Tanzania ni dola huru na nchi ambayo inajitawala. Kwa nini watoe Tamko la kuwasemea Chadema mambo...
Maisha yanavyokimbia kila Jambo unalofanya linapaswa kuwa kwenye maandishi. Kila jambo unalolipa linapaswa kuwa kuwa na risiti.
Kila kazi unayofanya unatakiwa kuwa na cheti kwa maana umekaa...
This is the head of @ccm_tanzania youth wing in Iringa region - Kenami Kihongosi- inciting his peers to "take action" (if need be kill) @zittokabwe for writing to @WorldBank voicing his...
Naomba kila mmoja wetu (Mtanzania/ Mwafrika) atafakari kwa kina maswali haya:
(1) Ule uwezo wetu wa kurusha mshale wakati wa vita na mshale huo kumtafuta adui popote alipo na kumwangamiza...
DPP wa Tanzania amepora uhuru wa mahakama, mahakama nayo imeridhia.
Ni jambo la aibu kuwa DPP anamkamata mtu anamfungulia mashtaka yasiyo na dhamana kisha kila mshtakiwa akipelekwa mahakamani DPP...
Utawala wa sheria unataka viongozi na raia wa kawaida kuheshimu sheria na kuhakikisha wanafanya shughuli zao na kuishi kama sheria zinavyosema.
Ibara ya 13(3) iko wazi kabisa kwamba haki za...
Huyu kiongozi alikamatwa tangu jana pale alipofika kituo cha Polisi ili kuripoti makosa ya mtandaoni baada ya Tweet ya Dadi Igogo , badala yake akakamatwa yeye ambaye ni mlalamikaji na kuswekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.