CUF yazindua Kongamano la kudai Katiba mpya, yataka maoni ya wananchi kuheshimiwa

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
IMG_20201220_154326_546.jpg


"Tunakushauri Rais Magufuli kwamba mda wako wa kuongoza ukiisha wasije wakakudanganya ukaongeza mda wa kuwa madarakani wakati mda wako vipindi vyako vitakuwa vimekwisha".-Prof. Lipumba.

#UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya

#OfisiKuuYaChamaBuguruni.

------

Chama cha CUF jana kimezindua Kongamano la kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, ikiwa ni siku 53 baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kufanyika.

Akifungua Kongamano hilo, Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba ametoa rai kwa Rais John Magufuli kuheshimu maoni ya wananchi kwa kuwapatia Katiba mpya na Tume Huru.

Vilevile, amesema Rais anatakiwa kuheshimu ukomo wa Uongozi uliopo kwa mujibu wa Katiba na kuepuka majaribio yoyote ya kumuwezesha kukaa madarakani kwa muda mrefu.

Amesema Rais anapaswa kufufua mchakato ya kuandika Katiba mpya kuwapatia Watanzania Tume huru ya Uchaguzi itakayoubganisha Taifa na kufuta machungu yaliyotokana na Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Ameongezaa kuwa, rasimu ya Katiba mpya iliyo chini ya Jaji Mstaafu Joseph Warioba imekidhi matakwa ya wananchi walio wengi na jukumu alilobaki nalo Rais ni kuhitimisha mchakato huo.

======

The opposition Civic United Front (CUF) on Sunday, December 20, 2020 organized a congress gathering national leaders, members of the national congress and members to discuss on the demand for the new constitution and an independent electoral commission.

The conference was organized 53 days after the conclusion of this year’s General Election that saw President John Magufuli re-elected and the ruling CCM increasing domination in the Parliament and local councils.

Opening the conference, the party’s chairman Prof Ibrahim Lipumba asked Dr Magufuli to respect citizen’s opinion by providing them with the new constitution and the independent electoral commission.

“Dr Magufuli should revive the new Katiba writing process now in order to provide citizens with an independent electoral commission in order to unify the country and cure it from wounds resulting from the 2020 General Election,” he said.

The economics professor who turned politician said President Magufuli should also respect the leadership term limit provided by the constitution and ignore any attempts of making him a life president.

He said since the draft constitution from the defunct Constitution Review Commission (CRC) under Judge (rtd) Joseph Warioba has accommodated most citizens’ opinions; the president’s remained with the task to finalize the process.

Former Bukoba Urban MP Wilfred Lwakatare said the two demands should bring together all Tanzanians, political parties, academia, Civil Society Organizations (CSOs), clerics etc.

However, the new constitution is not in the ruling party’s manifesto.
 
CUF ndo chama chenye roho ya paka na kamwe hakiwezi kufa hivyo wasijidanganye Kama wanaweza kukiua chama Cha CUF.

Nawaambia watanzania Prof. Lipumba ni rafiki wa kweli na ni kiongozi jasiri na mtetea haki za wanyonge.

#UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya

#OfisiKuuYaChamaBuguruni.
 
"CUF ndo chama chenye roho ya paka na kamwe hakiwezi kufa hivyo wasijidanganye Kama wanaweza kukiua chama Cha CUF"

#UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya

#OfisiKuuYaChamaBuguruni.

Ingekuwa inakubalika na wananchi ni kweli haiwezi kufa, hata ikifanyiwa hujuma na dola. Kuna uwezekano isife, lakini isiwe na support na wananchi wengi kama ilivyokuwa awali.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Uyu mzee amesababisha VIJANA na WAZAZI wasione Tena umuhimu wa ELIMU ya CHUO KIKUU.

Utaskia vijiweni wakijadiliana,
"Kama wasomi wenyewe ndo Hawa, Ina maana gani kulipa Ada"

"Si Bora nikalime TU matikikiti"
 
Uyu mzee amesababisha VIJANA na WAZAZI wasione Tena umuhimu wa ELIMU ya CHUO KIKUU.

Utaskia vijiweni wakijadiliana,
"Kama wasomi wenyewe ndo Hawa, Ina maana gani kulipa Ada"

"Si Bora nikalime TU matikikiti"
Sasa hilo ni kosa la vijana au mzee?
 
Muda upi unaozungumziwa hapa? Kwani alipata RIDHAA ya Watanzania ili kuendelea kuwepo Ikulu?

View attachment 1655214

"Tunakushauri Rais Magufuli kwamba mda wako wa kuongoza ukiisha wasije wakakudanganya ukaongeza mda wa kuwa madarakani wakati mda wako vipindi vyako vitakuwa vimekwisha".-Prof. Lipumba.

#UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya

#OfisiKuuYaChamaBuguruni.
 
Back
Top Bottom