Dr. Hamis Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Amana

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
918
1,994
Naibu Waziri, Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Dr. Hamisi Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza hospitali ya Amana mara baada ya kuapishwa..

HK.jpg

Kigwa.jpg

attachment.php

attachment.php
 
Mbwembwe tu hizo,Atatulia akikua ngoja azoe wizara na akutane na majipu kwanza
 
A big up Kigwa; Hebu turudishieni tumaini lililopotezwa na Mkwere kwa kuchekacheka!

Naibu Waziri, Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Dr. Hamisi Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza hospitali ya Amana mara baada ya kuapishwa..

attachment.php

attachment.php

Ziara za kushtukiza! Ngoja tupate marejeshoo ya ziara yake hiyo
 
Back
Top Bottom