Zanzibar: Wakurugenzi wasimamishwa kwa tuhumaza ubadhirifu wa mali za umma

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,008
9,873
Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Masoud Ali Mohammed amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Mjini pamoja na Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Magharib 'A' na kuagiza kuanza kwa taratibu za uchunguzi juu ya tuhuma mbalimbali ikiwemo ya ubadhilifu wa fedha na mali za Umma.

1608643779628.png
 
Back
Top Bottom