MichaIkungi Wamekaidi Agizo la Rais: Michango ya Elimu Bure inaendelea kama Kawaida na Wananchi Wanakamatwa, Wakiwemo Akinamama

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,351
2,000
Katika Kijiji cha Makilawa, Kata ya Makilawa Jimbo la Singida Magharibi, Wananchi Wanakamatwa na Wanaliplpishwa Shs. Laki Moja (100,000/-) kila Mmoja kuchangia Ujenzi wa Sekondari.

Muda huu Wananchi wengi wamekamatwa Wakiwemo akinamama na Wamefungiwa kwenye Ofisi za Kijiji hadi Walipe kiasi hicho ndo waachiwe.

Na wanafunzi wanaendelea kuchangia Madawati na Michango mingine ya kijinga, licha ya Agizo la Rai Magufuli kuwa hakuna Michango Mashuleni.

Wanaambiwa Lissu hayupo, sasa Ikungi ni Kazi Tu Watachanga hadi Wakome.

==========

Mods msaada please...Isomeke Ikungi badala ya MichaIkungi
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
5,253
2,000
Walipe pesa hakuna vya dezo .kama elimu pesa saana wakasome ujinga
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
4,879
2,000
Subririni zifike zile nyingine tano...elimu tunaweza kuahirisha huku tukiendelea kufaudu haya madege yetu.
 
NONIYANG'WAKA

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,496
2,000
Mliambiwa kuandamana mkasema atangulie lisu na mbowe, sasa komaeni tu.

Mtendaji na headmaster awe anawacharaza na bakola kila nusu SAA.

Tunataka laki, nasema laki.
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,682
2,000
Katika Kijiji cha Makilawa, Kata ya Makilawa Jimbo la Singida Magharibi, Wananchi Wanakamatwa na Wanaliplpishwa Shs. Laki Moja (100,000/-) kila Mmoja kuchangia Ujenzi wa Sekondari.

Muda huu Wananchi wengi wamekamatwa Wakiwemo akinamama na Wamefungiwa kwenye Ofisi za Kijiji hadi Walipe kiasi hicho ndo waachiwe.

Na wanafunzi wanaendelea kuchangia Madawati na Michango mingine ya kijinga, licha ya Agizo la Rai Magufuli kuwa hakuna Michango Mashuleni.

Wanaambiwa Lissu hayupo, sasa Ikungi ni Kazi Tu Watachanga hadi Wakome.

==========

Mods msaada please...Isomeke Ikungi badala ya MichaIkungi
Na wewe jitahidi kujipunguzia huo ujinga uliotamalaki kwenye ubongo wako ili ujiruhusu kufikiria kimaendeleo! Yaani unawajaza watu upumbavu wako ili wasichangie miradi ya maendeleo yanayowahusu wao na jamii yao.
Uliwahi kusikia miradi ya msaragambo?
Hayo madawati na madarasa ni kwa akili ya watoto waliozaliwa na wanaoishi Uganda au hao wa hapo kijijini?
Iondoe hiyo mentality ya kuletewakika kitu na serikali kwani hata michango yenu kwenye uchumi ni below 0% halafu unataka uchangiwe kwa 100% kwa kuwa ninyi ni Bora kuliko wananchi wa maeneo mengine ya nchi?
Tembea wlaya za mikoa ya singer, iringa, Kilimanjaro na kagera uone wananchi wanavyojitoa kwa Hali na Mali kwa akili ya ujenzi wa shule na zahanati bila kuisubiri serikali! Acheni uvivu na akili za kijinga na kuilaumu serikali msiyoichangia chochote!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom