Mbowe kaa pembeni, pisha uachie chama damu mpya

Mbowe kaa pembeni, pisha uachie chama damu mpya

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,352
Reaction score
5,175
Simug'unyi maneno wala sitaki kuwa mnafiki. Mbowe kaa pembeni.

Kwa nini unawafanya watanzania ni mazuzu wa kisiasa?

Hivi hata kama mzee wako ndie muasisi wa Chadema, ndio unataka kufanya Chadema private property?

Chama chetu kinapokea ruzuku mil 104 kila mwezi, upo kimya mithili ya dodolima.

Huku sisi makamanda tunajua umewadindia wakora wa CCM.

Nini sasa kutuhadaa kama watoto?

Pisha na uachie chama damu mpya, hiyo sio private property.
 
Hadi siku muende kaburini Mbowe atakuwa amewavuruga sana.

Bado mko nae tu?

Mmeshashinda uchaguzi na wabunge asilimia mia 9 wote wanatoka chama chenu, hebu achaneni na siasa sasa tuleteeni maendeleo. Huyu Mbowe na watu wake mlisema anawachelewesha maendeleo mmefanikiwa kumtoa kwenye reli sasa maneno ya nini tena arawa? Ni dhambi inawasuta au ni nini?

Huu mwaka mpya aseee, tupumzisheniiiiiiii!

Hizi nguvu bado mnatumia kwa vyama vya upinzani hebu zitumieni kwenye mifumuko ya bei za korie, udongo ulaya na mengineyo.
 
Kwani CAG kasemaje?

Mambo mengine ni ya kiutawala zaidi tusifanye kila kitu ni siasa!
 
Siku ruzuku ikikatika ndio siku hiyo hiyo Mbowe ataachia kitu na kumkabidhi yeyote anayetaka aweza mkabidhi hata Mdude.
 
Ngoja nicheke tu! Camouflagers na informers wanavyo shikana mashati [emoji23]
 
Wewe ni kilaza.
Ni vile tunatumia tu majina feki humu ndani ila nina uhakika kabisa ingekuwa kuna mashine ya kupimia ukilaza na ujinga tupimwe mimi na wewe lazima ungenishinda mbali sana.

Anyways hata thread za mtu japo zinaandikwa kwa kutumia majina feki nadhani wajumbe na jamii nzima inaweza kusoma thread zangu na zako wakajua kati yetu nani kilaza. Tuachie dunia na wajumbe waamue.
 
Subiri awavushe kwanza.

f8a9bd2c-dbf2-4e9f-bd7d-680d9409a002.jpg
 
Hadi siku muende kaburini Mbowe atakuwa amewavuruga sana.

Bado mko nae tu?

Mmeshashinda uchaguzi na wabunge asilimia mia 9 wote wanatoka chama chenu, hebu achaneni na siasa sasa tuleteeni maendeleo. Huyu Mbowe na watu wake mlisema anawachelewesha maendeleo mmefanikiwa kumtoa kwenye reli sasa maneno ya nini tena arawa? Ni dhambi inawasuta au ni nini?

Huu mwaka mpya aseee, tupumzisheniiiiiiii!

Hizi nguvu bado mnatumia kwa vyama vya upinzani hebu zitumieni kwenye mifumuko ya bei za korie, udongo ulaya na mengineyo.
Mbowe Kisha Chota Akili zenu
Mlisha muona Mungu mtu hakosolewi
Yaani Mlivyo Vilaza mnaamini Huyo Ataweza Iongoza Nchi
Kamwe haita kuja tokea Acha Aongoze Vilaza tu Wasio jua Kukosoa na Kumfanya mungu mtu
 
Back
Top Bottom