Wana JF poleni na pilika pilika za sikukuu.
Kama kichwa cha uzi kinavyojitanabaisha niseme kuwa agizo la waziri wa afya sio zuri kwa mustakabari wa watanzania.
Watanzania wengi tunaishi maisha...
Tunaweza tukasikilizwa au hapana, ukweli ni kwamba rais anatakiwa kusaidiwa jinsi ya kuchagua maneno ktk majukwaa ya kisiasa. Tunaona jinsi Rais anavyotumia jukwaa na kujisahau kwamba maneno ya...
Mwaka 1994 mwanasiasa machachari huko nchini Kenya Dr Fredrick Masinde alipata ajali mbaya sana ambayo ilisababisha kifo chake. Ajali ambayo baadae ilikuja kujulikana kuwa ilitengenezwa na kisha...
Baada ya kuona serikali inafuatilia mali za mafisadi ili kuzitaifisha naomba niikumbushe serikali hiyo kwamba isisahau kutaifisha yale majengo yaliyokuwa yanamilikiwa na Kampuni ya Sigara pale...
Ni takribani siku Nne sasa toka taarifa zizagae hasa katka mitandao ya kijami,i kuhusu ujumbe na Neno alilotoa Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Z.Kakobe, kwa vyama vya...
Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo katika mchakato wa kutoa vitambulisho vipya vya wafanyabiashara wadogo.
Mtendaji mkuu huyo wa shughuli za Serikali ameagiza machinga...
Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira...
(Huu ni muhtasari wa tafsiri (isiyo rasmi sana) ya Oped iliyochapishwa na gazeti la The Citizen)
Katika mtanange wa kupata chanjo dhidi ya Coronavirus unaoendelea duniani, Tanzania inaweza...
Nikiwa kwenye pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na makala fupi ya chombo cha habari maarufu Al Jazeera, katika makala hiyo wameeleza kuwa utawala wa Magufuli umeonyesha jitihada kubwa za...
Jengo la Ikulu ya Dar-es-Salaam linafaa sana kuja kugeuzwa kuwa Jumba la Makumbusho ya Historia ya Mwafrika. Hili litawezekana Rais Magufuli atakapohama rasmi kwenda Dodoma kwenye Ikulu Mpya...
Rais Magufuli amesema haya
''Mkurugenzi wa Kahama Mji unafanya kazi kubwa sana, ka kosa kale kadogo kamesamehe dhambi zako zote. Unafanya kazi sana najua unapigwa vita ila wanaokupiga vita...
Mimi ni mkazi wa jimbo la vunjo natoka kijiji cha lyasongoro kata ya marangu mashariki tarafa ya vunjo mashariki ambayo makao makuu yake yapo kata ya mamba kusini wilaya ya moshi, mkoa wa...
TAARIFA KWA UMMA
CUF- Chama Cha Wananchi kinapokea kwa mstuko Mkubwa Taarifa za kuenea kwa kasi kwa Maambizi ya CORONA katika maeneo mbalimbali ya Dunia ikiwa ni pamoja na nchi jirani na...
VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA DAR ES SALAAM VYAKAMATA WATUHUMIWA 314 WA UHAMIAJI HARAMU, RC KUNENGE ATOA ONYO KALI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amesema Katika operesheni ya...
Habari za Hapa Jukwaani.
Katika Wakurugenzi waliopewa siku 6 za ipo Halmashauri ya Kahama Shinyanga.
#1. Mkurugenzi wa Halmashauri Kahama alikuwa ana gari Nyeusi ambayo bado ina hali nzuri...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda inadaiwa kuwa amefutiwa ule ulinzi mkali aliokuwa akipatiwa.
Hii story imeandikwa kwa kina katika gazeti la kichambuzi la Jamhuri.
Nimetafuta matini...
Rais John Pombe Magufuli amewataka wabunge wawabane mawaziri kwa kuwahoji ili wawajibike kutatua kero za Wananchi.
Rais Magufuli ameyasema hayo leo alipokuwa akizindua Kituo cha afya cha Mbogwe...
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu...
Global Fishing Watch shared workspace
Kutokea hio webusite ni live na inaonyesha meli au vyombo vya uvuvi vinavyovua,inaonyesha jama wanapenya mpaka karibu ya Mtwara na lindi na kukaribia visiwa...