Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mfuko wa PSSSF unalipa mafao kwa wanachama wake pale wanapo patikana na janga (contingency). Majanga yanayolipiwa ni mafao ya kustaafu, kufariki, ugonjwa, ulemavu, na kukosa ajira. Mfuko wa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Serikali imeitaka mifuko ya hifadhi ya jamii nchini kuacha ujanja ujanja badala yake ijikite kulipa mafao kwa wakati kwa wanachama wao wanaostaafu ama kuachishwa kazi. Imeitaka mifuko hiyo...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Wanajamvi heshima kwenu, Tangu mwanzo na hata sasa, serikali ya awamu ya tano inajipambanua kama "serikali ya wanyonge". Wananchi wengi sasa wanazidi kuuliza kuwa hawa ni wanyonge wa aina gani...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Tanesco wanazalisha umeme na kuuza kwa taasisi za Serikali. Taasisi za umma zinakusanya pesa na kuziwasilisha hazina moja kwa moja, lakini Tanesco wanakwenda kwenye taasisi za umma kukata umeme...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya, Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest, aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana. Tunamuomba Mwenyezi Mungu...
14 Reactions
64 Replies
11K Views
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete waondoka Rasmi Ikulu na Kuelekea Kijijini Msoga Leo Picha: Ikulu
1 Reactions
199 Replies
31K Views
MAMIA WAMLILIA PADRE IRENEUS MBAHULIRA Padre Ireneus Mbahulira(79) amezikwa leo katika makaburi ya mapadre Seminarini Rubya Jimbo Katoliki la Bukoba. Mazishi yake yameudhuriwa na Maaskofu...
11 Reactions
21 Replies
5K Views
Mpaka sasa nchi wanachama wa jumuiya ya kikanda ya kusini mwa Afrika, SADC imepoteza mawaziri wake kumi ndani ya wiki mbili huku Zimbabwe na Eswatini zikiongoza kwa kila moja kupoteza mawaziri...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amesema kutokana na stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis kuwa na hadhi ya kimataifa, anapendekeza ipewe jina la Dkt. John Magufuli kama sehemu ya shukrani na...
8 Reactions
103 Replies
13K Views
Mama lishe mkoani Mtwara wameiomba serikali kuingilia kati upandaji holela wa bei za mafuta ya kula na unga wa ngano. Wajasiriamali hao wamedai upandaji bei wa bidhaa mbalimbali kiholela...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
SERIKALI imekiri kuwapo kwa utitiri wa mitihani ya majaribio kwa wanafunzi wa shule za msingi za umma na binafsi na imesema mitihani mingi haina ubora kwa maendeleo ya kitaaluma ya watoto. Katibu...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Salaam Wana JF, Kupitia ukurasa wa twitter Bwana Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" CHADEMA" ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa...
20 Reactions
120 Replies
11K Views
MKAZI wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Mbali na shitaka hilo...
3 Reactions
122 Replies
20K Views
Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara. Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu wanasiasa. Natamani huu mfumo mpya Wa GePG uwe Wazima kwa Watanzania wote. Yaani hata ukigongewa mhuri mahakamani ukilipa 500 inaonekana kwa website Fulani ama kwa TBC kila muda na...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Rais huyo wa nchi ya Ethiopia Mheshimiwa Sahle Work Zewde atawasili nchini kesho Januari 25, 2021 kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku moja Taarifa kwa mujibu wa Waziri Mambo ya Nje na...
5 Reactions
102 Replies
10K Views
Naona JK anakaribia kuandika historia kuwa raisi wa kwanza wa nchii hii kuingia madarakani akiwana na marafiki wengi aliowakabidhi madaraka makubwa na ambao wamekuwa wakipukutika kutoka kwenye...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
WAKUU, Kama umepita barabara ya Chalinze kwenda Moro au toka Moshi kuja Dar utaona haya maahabu, kuna barabra inajengwa toka Msoga (km14 toka Chalinze kwenda Moshi/Arusha), hii inaanzia kijijini...
7 Reactions
81 Replies
18K Views
Moja ya hotuba ya baba wa Taifa,ambayo sehemu yake hurushwa kila siku na ITV mara baada ya taarifa ya habari kama wosia wa baba wa taifa,inasema na hapa nanukuu "mtu anaeona haya kuitetea katiba...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari wakuu Nashindwa kuelewa hivi hawa viongozi wetu akili zimedumaa namna hii, ubunifu hakuna kabisa, nahisi mh rais kuna wakati anajuta kuwateua, wanamwangusha sana, sijui ni woga. ile shule...
21 Reactions
71 Replies
10K Views
Back
Top Bottom