Gazeti la Jamhuri: RC Makonda afutiwa Ulinzi

Gazeti la Jamhuri: RC Makonda afutiwa Ulinzi

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda inadaiwa kuwa amefutiwa ule ulinzi mkali aliokuwa akipatiwa.

Hii story imeandikwa kwa kina katika gazeti la kichambuzi la Jamhuri.

Nimetafuta matini yake mtandaoni bado sijapata. Nitaiweka full nikifanikiwa kuipata.

Au kuna mwenye nayo?
IMG-20180719-WA0019.jpg
 
Moja ya jeuri kubwa ya Bashite ilikuwa vyombo cha ulinzi vinavyomzunguka..

Ukiisoma body language ya Bashite hivi sasa hayupo sawa..

Toka kuwe na zile tetesi za jamaa kutaka kummwaga na hasa kwa hizi habari za kwamba hawatizamani usoni na Baba yake, mambo sio Shwarii tena kwake..

Za chini ya Kapeti ni kwamba hata mwezi huu July alikuwa aende US, Baba akaweka kigingi..hakuna kusafiri.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda inadaiwa kuwa amefutiwa ule ulinzi mkali aliokuwa akipatiwa.

Hii story imeandikwa kwa kina katika gazeti la kichambuzi la Jamhuri.

Nimetafuta matini yake mtandaoni bado sijapata. Nitaiweka full nikifanikiwa kuipata.

Au kuna mwenye nayo?View attachment 813234
Habari kama hizi hazina tija kwa taifa, chapa kazi kijana
 
Back
Top Bottom