Baada ya Rais Mwinyi kukiri kwamba Rais Magufuli ndiye amewezesha Zanzibar kuwa Wamoja, ni wazi Tundu Lissu angepata uteuzi kama alivyoahidiwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
39,960
2,000
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana.

Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini yeye akakaidi na alipofeli uchaguzi akakimbilia tena Ubelgiji badala ya kutoa ushirikiano kwa serikali.

Hongera sana Maalim Seif na ACT wazalendo kwa kusoma vema alama za nyakati.

Maendeleo hayana vyama.
 

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,091
2,000
Najua wazanzibar wengi hawataki kulisikia hilo Zimwi,Mwinyi asijiharibie!

2025 wazanzibar wasikubali askari kutoka bara waende kusimamia amani huko!Maana mara zote wamekuwa wakiuwawa!Naamini Mwinyi hatakubali damu imwagike ndani ya utawala wake!
 
  • Love
Reactions: BAK

IDEGENDA

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
2,947
2,000
Najua wazanzibar wengi hawataki kulisikia hilo Zimwi,Mwinyi asijiharibie!
2025 wazanzibar wasikubali askari kutoka bara waende kusimamia amani huko!Maana mara zote wamekuwa wakiuwawa!Naamini Mwinyi hatakubali damu imwagike ndani ya utawala wake!
Kwanini unawasemea Wazanzibar? Wao wameridhika na maisha yanaendelea na wanajua rais wao wa muungano ni Magufuli na rais wao wa Zanzibar kwenye selikali ya mseto ni Mwinyi.

Ninyi endeleeni na viroho vyenu vya korosho hapo ufipa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom