Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,078
- 3,357
Baada ya kuona serikali inafuatilia mali za mafisadi ili kuzitaifisha naomba niikumbushe serikali hiyo kwamba isisahau kutaifisha yale majengo yaliyokuwa yanamilikiwa na Kampuni ya Sigara pale Segerea (Barakuda) Maana huyu fisadi aliyanunua kwa Tsh 4 billioni fedha za wananchi yageuzwe shule watoto waweze kusoma. Eneo linazo facilitities mbali mbali kuanzia shule nzuri ya watoto wadogo (Chekechea, Uwanja mzuri wa mpira na kadhalika.