Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Global Fishing Watch shared workspace Kutokea hio webusite ni live na inaonyesha meli au vyombo vya uvuvi vinavyovua,inaonyesha jama wanapenya mpaka karibu ya Mtwara na lindi na kukaribia visiwa...
2 Reactions
62 Replies
5K Views
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha. Makonda...
7 Reactions
186 Replies
28K Views
Makonda agoma kupigwa picha na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi... Mwandishi apumzishwa kituo cha POLISI. ==== Mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi, Ibrahimu Yamola jana alishikiliwa na...
3 Reactions
135 Replies
19K Views
Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV. Up dates; Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya. Rais Magufuli amewashukuru viongozi...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Kutoka akaunti ya twitter ya Millard Ayo: “Sisi Tanzania hali ya Corona haijawa kubwa na haipo, iko chache sana, wakati wenzetu wapo kwenye lockdown tuutumie huu muda kulima, tuwe na mazao mengi...
19 Reactions
93 Replies
8K Views
Mabibi na mabwana katikati ya misukosuko na gonjwa hili lililotukalia vibaya mno hasa sisi wenye migogoro yoyote mingine ya kiafya, wale wenzetu na sisi wenye umri 50+, pia wale wafanyao shughuli...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Awali ya yote kwanza nilipongeze Gazeti la Mwananchi kwa kazi nzuri sana juu ya uchunguzi wa kina katika kujua chanzo cha kifo cha Shirika la Chuma nchini , binafsi nimesoma matoleo yote mawili...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Uzalishaji wa sukari nchini umetajwa kongezeka katika kipindi cha miaka mitano kutoka tani 295,775 mwaka 2015/2016 hadi tani 377,527 zinazotarajia kuzalishwa msimu wa 2020/2021. Hayo...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu)...
24 Reactions
129 Replies
12K Views
Serikali iliwaahidi watanzania kwamba imeanzisha mradi wa mkongo wa mawasiliano ili kufanya mawasiliano kuwa ya kiwango cha juu kwa gharama nafuu. Miaka inazidi kuyoyoma hakuna cha ubora wa...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Ukitaka kujua Vita vya Ufisadi vinavyo Piganwa angalia nchi kama China, Korea, Indonesia, Thailand, Malaysia na kwingineko. Vita vya Ufisadi Tanzania ni kiini macho cha hali ya juu sana...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwekezaji mzawa katika sekta ya mifugo huko Ihefu mkoani Mbeya amekutwa amejinyonga kwenye mti porini baada ya ng'ombe wake 50 kukamatwa na askari wa Idara ya Maliasili. Baba wa marehemu amesema...
10 Reactions
174 Replies
17K Views
Chadema tuongeeni kidogo Ndugu zangu wanaChadema tumepoteza kabisa welekeo! Mtu mjinga, asiye na akili, akifeli kwenye jambo lake lolote atatafuta kisingizio. Na mara zote hurushia lawama kwa...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Hakika hotuba aliyotoa jana Rais wetu Magufuli imeniacha na huzuni kubwa, kwa kuwa nilichobaini kutokana na hotuba hiyo ni kama maisha yetu watanzania wote, tumeyaweka rehani na kiyakabidhi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mpwapwa 2010- 2015 , Naibu waziri wa fedha, Naibu waziri wa viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika serikali ya awamu ya nne na mwenyekiti wa bodi ya...
7 Reactions
76 Replies
15K Views
Sekta ya afya imejipanga kuwaondoa viongozi wote wasio na sifa ya uongozi, umahiri, weledi, utashi, ujasiri na uthubutu wa kufanya kazi kwa ubunifu ili kuchochea maendeleo kwa kasi zaidi. Hayo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh. Spika simamia ajira za wasaidizi wa Mbunge kuondoa ubinafsi, uchoyo na ufisadi. Wabunge wengi hawalipi mishahara kamili kama inavyotoka bungeni. Watumishi hao ambao ni watatu, Katibu, Dereva...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Sielewi ziara za viongozi wakubwa zote Chato. Naona harakati za kuikuza Dodoma zinadumaa kwa style hii. Na kwa style hii tunachanganya watendaji hatujui nguvu waeke wapi Dodoma au Chato? Kuna...
2 Reactions
108 Replies
16K Views
KUOGOPA KUPAZA SAUTI DHIDI YA MFUMO KANDAMIZI NI SAWA NA KUSHIRIKI UKANDAMIZAJI! Tangu nianze kutetea haki za wengine katika nchi yangu macho yangu yamekuwa yakifumbuliwa kila siku kuhusu uovu...
12 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais John Magufuli ametoa siku saba kwa Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Dorothy Gwajima na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo wampe majibu ya kwa nini Mkoa wa Geita...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom