Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kufuta bei mpya za maji zilizopaswa kutozwa kuanzia Januari, mwaka huu, ili kufanya uchunguzi wa kina kutokana na kukithiri...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuelekea uchumi wa kidigitali Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeitaka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kufikiri namna ya kutoa fursa kwa waTanzania wenye uwezo...
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Ndugu viongozi na wadau..Juzi tumesikia mtaalamu wa SSRA akisema mifuko ya hifadhi imewekeza sh 11.9 Trillion. Mimi siamini kama ni kweli kwani hakuna miradi mikubwa ya kula pesa hiyo harafu...
9 Reactions
42 Replies
5K Views
Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo. Ila kwenye eneo la Kemia, Baiolojia na famasia hawana uwezo...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Katika hali ya kushtua kwenye ngome ya CHADEMA Arusha, wafanyabiashara wote wa mkoa wa Arusha kuanzia mama ntilie , machinga na wafanya biashara wakubwa wametangaza kumuunga mkono Rais Magufuli...
22 Reactions
97 Replies
11K Views
Pale watoto wanapojua serikali ya Chama tawala imewajengea shule, imewawekea miundimbinu na zana za kujifunzia, walimu na imeondoa ada ili kila mtoto apate elimu. Yajayo yanafurahisha😃😃😃
4 Reactions
43 Replies
46K Views
Zanzibar’s Abeid Amani Karume Airport is failing on COVID-19 safety protocols Abeid Amani Karume International Airport in Zanzibar has been Certified with the lowest 2-Star COVID-19 Airport...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Ugumu mnaopata nyinyi kulipa madeni, ndio huo huo wanaoupata wananchi wa kawaida wenye madeni lukuki kwenye salary slip zao, ila hamkujali mkawaongezea makato ya Bodi ya Mikopo kutoka asilimia 8...
15 Reactions
59 Replies
7K Views
Wakuu amani iwe nanyi. Huenda Tanzaniaz tunalo tatizo japo sio kwa kiwango hicho tusemacho, ila tatizo lipo. Nichukue muda huu kupitia kwa serikali, ipitishwe sheria ya nchi mzima kufanya Kama...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Anaandika Dr Christopher Cyrilo Dr. Mpoki Ulisubisya, aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya Afya ameondolewa kwenye nafasi hiyo na kupewa ubalozi. Bila shaka Dr. Mpoki aweza kupangiwa kuwa balozi...
50 Reactions
112 Replies
21K Views
Katibu mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar, mkurugenzi wa mafunzo wa chama hicho Thney Juma amethibitisha. KHALIFA...
10 Reactions
88 Replies
17K Views
Heshima kwenu "bandugu" KWA mtu ambaye yuko nje ya Tanzania anaweza kusadiki kuwa nchi hii ina Amani, utulivu, mshikamano, upole, upendo na umoja wa kitaifa. Ukweli mchungu ambao Serikali ya CCM...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Mabibi na mabwana tunapo tapatapa na pumzi kuweza kupumua, kumejitokeza mielekeo chanya sana katika kuwasaidia TRA kubaini vyanzo zaidi vya mapato yasiyokuwa na utata wowote. Ni vizuri kila...
20 Reactions
38 Replies
3K Views
Wasalaam wana jamvi. Wanajamvi wasalaam, bila shaka kila mtu anajua fika kabisa kuwa janga la Corona limeathiri dunia na uchumi wa dunia kwa ujumla kabisa. Na ni wazi kabisa Tanzania tuna Neema...
8 Reactions
89 Replies
9K Views
Wana JF. Kituo cha mafuta cha BIG BON kilichopo mtaa wa Msimbazi na Congo leo hii kimewekewa tangazo na serikali kuwa kinatakiwa kivunjwe sababu kipo barabarani mida ya mchana leo kilikuwa...
8 Reactions
144 Replies
27K Views
Hakika inasikitisha sana kuwaona Wazee wetu waliolitumikia Taifa hili kwa uaminifu mkubwa mpaka kustaafu utumishi wao lakini mpaka leo hii HAWAJALIPWA MAFAO YAO. WASTAAFU waliostaafu Julai 2018...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema DC wa Pangani ambaye ndiye mwenye umri mdogo kuliko maDC wote ni mchapakazi kweli. Makonda amesema mkuu huyo wa wilaya ambaye ni mwanadada ni mbunifu na...
10 Reactions
280 Replies
37K Views
Kuna sintofahamu kwa wastaafu walioangukia kwenye kikokotoo cha 25% kupewa mapunjo ya fedha yao iliyobaki. Mwishoni mwa mwaka Jana Rais wa Jamhuri Dr. John Pombe Magufuli aliamuru kikokotoo hicho...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Hakika inasitikisha sana kwa wanayopitia wazee wastaafu waliojitolea kuitumikia nchi kwa nguvu zao na kuchangia michango yao kwenye mifuko ya jamii lakini leo wanashinda wanazurura kudai haki yao...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
CAG: Serikali ya Tanzania inadaiwa Sh2 trilioni na mifuko ya hifadhi za jamii Thursday April 11 2019 Kwa ufupi Serikali inadaiwa zaidi ya Sh2 trilioni na mifuko ya hifadhi za jamii...
8 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom