Katika utawala wa kirumi ilikuwa ni kawaida sana kufanya GWARIDE katika mitaa mbalimbali siku ya kuwapa MEDANI MAJENERALI wa KIJESHI wanaokuwa wamefanya mambo MAKUBWA na ya KISHUJAA katika nchi...
abriel Gavu
MAPINDUZI YA KIFIKRA KWA SASA YANAHITAJIKA
NA ; - GABRIEL GAVU (BSW)
2020
Nianze na kukubali kuwa dunia ni kijiji kwa utandawazi uliopo sasa. Tunahitaji nguvu ya pamoja kuitazama...
Sijawahi kuona Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli akitoa Hotuba huku akiwa mpole, makini, hana maneno mengi kama tulivyomzoea halafu akiwa si mchangamfu kama kawaida yake na ukienda mbali zaidi...
Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya...
Serikali kupitia kinywa Cha Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jaffo imetangaza wiki ya watu kupiga nyungu inayoanza leo Jumatatu kama moja ya silaha ya kupambana UVIKO.
Ni baada ya kumalizika kwa wiki...
Serikali imejipanga vizuri katika kuhakikisha inakamilisha utekelezaji wa vipaumbele vyote ambavyo havikukamilika katika kipindi kilichopita sambamba na kusimamia ipasavyo maeneo mapya...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza halmashauri zote nchini kutenga bajeti kwa kutumia mapato yao ya ndani kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa ulioanzishwa na wananchi kwa...
Aina ya siasa alizofanya Rostam Aziz enzi zake hazitofautiani sana na za mzee David Sanga aka Jah people mjukuu wa mganga maarufu pale Makete ambaye aliwapa sana utajiri Wakinga kabla hajaokoka...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameagiza Watumishi wa Halmashauri ambao wametakiwa kuhamia makazi mapya na hawajafanya hivyo kuondoka mara moja.
Amesema "Kipindi cha kuondoka...
Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.
=====
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza wakandarasi wanaokwenda kutekeleza miradi minne ya miundombinu ya mawasiliano yenye thamani ya shilingi...
Hatimaye baada ya takriban miaka 10 iliyopita Jiji la Mbeya limeamua kujenga City Mall ya kisasa pale sehemu inaitwa "Uhindini".
Sehemu hii katikati ya Jiji kulikuwa na soko na vibanda vya...
Kauli ya Baba Askofu Rev.Dr.Stephen Munga (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, baada ya Naibu Spika kushiriki igizo la kuizika Chadema.
______________
Naibu Spika (Dr.Tulia Ackson)...
Mabibi na mabwana na tuambizane ukweli tu, kwani haisaidii kuukimbia ukweli. Pia msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.
Hongera Dar kwa kuanza kutupia barakoa kujaribu kujihami na kuwahami wengine japo...
Prof. Mchembe amesema serikali imepiga marufuku hispital binafsi kupandisha bei kwa wagonjwa wenye matatizo ya kupumua.
Prof. Mchembe amesema ameona kwenye mitandao baadhi ya hospital zimeongeza...
My take:
Excuse my French and pardon my vernacular, Thabo Mbeki knows his ‘shit’.
I tip my hat off to him. To get what I’m talking about, watch the video of him reflecting on the passing of our...
Katika nchi za Afrika Mashariki, inaonesha kuwa ni Burundi na Tanzania pekee ndiyo hazina virusi vya korona na kwa hiyo hawahitaji chanjo ya COVID 19.
HOFU na WOGA ni roho za kuzimu na infact...
Ndugu Waziri wa Afya, naomba kukuuliza MASWALI matatu tu ili nisikuchoshe. Nikiwa mwananchi wa nchi hii ninahitaji majibu sahihi kutoka kwako tena yawe ya kitaalamu na si ya kisiasa:
1) Je...
Ule usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea.
Lakini kwenye pesa...
Inasemekana kwamba hata ambaye amenyimwa macho basi angalau anapewa uwezo wa kunusa na kupapasa, hanyimwi vyote.
Ukweli niliouona (maana macho ninayo) ni kwamba wananchi wengi wamelipuuza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.