Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu! Ni kweli kwamba wafungwa wanapaswa kuzalisha ili kujihudumia kwa kiasi kikubwa. Badala ya kuwa sehemu ya mateso na mzigo kwa serikali, mazingira wezeshi ni muhimu ili kufanikisha...
20 Reactions
49 Replies
5K Views
TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa Mkoa wa Mwanza ni miongoni mwa mikoa nchini yenye watu wanaoishi katika mazingira magumu na maisha duni. Mkoa huu ni kati ya mikoa nchini ambayo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KWENYE PARETO BADO KUNA UKAKASI, PAMOJA NA MAJIBU YA MH BASHE..... Na Elius Ndabila. 0768239284 Mh Bashe Naibu Waziri wa Kilimo, pamoja na majibu mazuri kwa Mh Njeza Mbunge wa Mbeya vijijini (...
0 Reactions
1 Replies
766 Views
Kuna kiwanda kimoja maeneo ya Kunduchi Salasala kinachotumia nishati ya makaa ya mawe (coal) kuzalisha bidhaa za sabuni. Ni hivi majuzi kimeanzisha utaratibu wa kusambaza, kwa kutumia magari ya...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Chuma ndio madini mama duniani, mapinduzi makubwa duniani yameletwa na matumizi ya zana za madini ya chuma, ni heri uache vyote ili uchimbe chuma kama unayo. Tena huna haja ya kutafuta mwekezaji...
27 Reactions
122 Replies
15K Views
Tusitarajie wabunge wengi kuwa na busara kulalamikia kero za wananchi, kama maji, elimu na miundo mbinu mibovu. Maana wabunge wengi ni wa CCM na wao walikiri kuwa hawastahili kuwa bungeni bali...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Ni kujitutumua tu kwa chama changu kuonesha kinataka kufanya mabadiliko lakini ukweli ni kuwa hakuna kipya kitachotokea kama Mbowe hata pigwa chini. Kubadili uongozi katika kurugenzi za chama...
1 Reactions
91 Replies
9K Views
Wale wabunge 19 wa Viti Maalumu wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), asubuhi hii wamefika na kuendelea na kikao cha Bunge kilichoanza leo Jumanne, Februari 2, 2021 Jijini...
3 Reactions
53 Replies
6K Views
Makamanda Pipo's power ✌️ Mimi kamanda kindakindaki msemakweli naomba askofu Mwamakula ampe vidonge chairman wetu. Siasa za kitapeli sasa basi. Amekula ruzuku mpaka chama kikakosa nguvu ya kupata...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Mheshimiwa Jaffo, wakati ule Halmashauri nyingi zikiwemo zile zenye nguvu ya kiuchumi zilipokuwa zikishikiliwa na kuongozwa na UPINZANI, Serikali yenu iliamua kuzinyang'anya ukusanyaji wa mapato...
26 Reactions
46 Replies
4K Views
Hili gazeti limechapisha kauli ya Magufuli kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ya ugonjwa huu. Gazeti limenukuu kauli za Magufuli kama zilivyo na hapa ndio kuna sehemu wamenukuu Magufuli...
27 Reactions
271 Replies
24K Views
Katika hali isiyo ya kawaida Rais Magufuli amewatuhumu Majaji na Mahakimu kuwa wanatumia kiingereza cha ku-copy and paste kutoka kwenye hukumu zilizoamriwa kwenye mahakama za nchi nyingine...
12 Reactions
140 Replies
11K Views
Salaam Wana JF, Nianze kwa kusema kuwa wale wanaodhani Bunge letu ni Jumba la Sanaa wanakosea kimantiki na pengine hawajui Majukumu ya Mhimili huu na mipaka yake, Bunge lina utakatifu wake na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jana nimemsikiliza Spika Ndugai akisema kuwa walimu wafundishe masomo mengi zaidi ya matatu nikabaki namshangaa kiongozi huyu mkubwa wa muhimili wa wabunge. Hivi kweli Spika Ndugai alishindwa...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu...
6 Reactions
168 Replies
20K Views
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita kwa mujibu wa maelekezo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Sakata la kukwama Katiba Mpya limeibuka tena bungeni ambapo Naibu Waziri wa Tamisemi, David Silinde amesema Kambi ya Upinzani inatakiwa kujilaumu yenyewe kwa kuingia mitini na inatakiwa kumwomba...
4 Reactions
66 Replies
8K Views
Shirika la Afya duniani (WHO) limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania na Burundi zikiwa hazimo. WHO limasema kuwa chanjo hizo ambazo...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwenye uchumi ambao bei za bidhaa zinapanda kila uchwao, ili mtu uendelee ku survive na maisha, ni budi kipato kipande ili kupunguza ukali wa maisha. Hii kwa wachumi tunaiita 'Cost of living...
21 Reactions
117 Replies
53K Views
Huyu mkuu wa wilaya ya Kilosa ndg Mgoyi, ni mjivuni kwelikweli Anafanya anavyotaka wala hajali watu wa wilaya hiyo. Anachukua ardhi za wakulima bila ridhaa yao. Watu wanalalamika yeye Hana habari...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
Back
Top Bottom