Serikali kupitia kinywa Cha Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jaffo imetangaza wiki ya watu kupiga nyungu inayoanza leo Jumatatu kama moja ya silaha ya kupambana UVIKO.
Ni baada ya kumalizika kwa wiki ya Sheria inayohitimishwa leo ambapo Rais Magufuli ni mgeni rasmi.
Swali langu ni hili. Vita ya UVIKO au Corona iko chini ya wizara ya Afya chini ya Waziri Dk. Gwajima. Kwa nini TAMISEMI ndio itangaze wiki ya nyungu na si Wizara ya Afya?
Je, Dk. Gwajima haamini katika nyungu? Pili, tunaomba maelezo ya kutosha ya namna ya kupiga nyungu maana ni rasmi kiserikali, si ushirikina.