Mkumbusheni Mwenyekiti "Memento Homo"

Shift

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
1,078
2,148
Katika utawala wa kirumi ilikuwa ni kawaida sana kufanya GWARIDE katika mitaa mbalimbali siku ya kuwapa MEDANI MAJENERALI wa KIJESHI wanaokuwa wamefanya mambo MAKUBWA na ya KISHUJAA katika nchi.

Baada ya gwaride kuisha, jukumu la kumvisha TAJI (crown) jenerali aliyekuwa anapewa heshima lilikuwa ni la MTUMWA mmoja anayechaguliwa ambaye maarufu alikuwa anaitwa jina la “Auriga”.

Kazi kubwa ya “Auriga” haikuwa KUVISHA taji bali haswa MANENO ambayo alitakiwa kuongea anapomvisha taji jenerali wa jeshi. Alitakiwa kusema kwa KUMNONG’ONEZA “Memento Homo’(Kumbuka wewe ni mwanadamu tu)(Remember,you are only a human).

Maneno haya ambayo ilikuwa lazima yasemwe yalilenga KUMKUMBUSHA kila jenerali kuwa bila kujali USHINDI aliopata,UWEZO aliouonyesha au SIFA anazomiminiwa,ASIRUHUSU hayo yote yakampa KIBURI na AANZE kujiona AMESHAFIKA.

Ni rahisi sana KUJISAHAU na mtu ukajiona HAKUNA kama WEWE,ni rahisi KIBURI kukuvamia kwa sababu ya SIFA zinazomiminwa kwako,ni rahisi sana KUDHARAU wengine kwa sababu ya CHEO au PESA ulizonazo.Usipokuwa makini unaweza kujikuta unajiona kama wewe ni “mungu mtu”.Kumbuka,wewe ni mwanadamu tu.

Inawezekana hauna mtu wa kukunong’oneza,hauna AURIGA pembeni yako,amua kujikumbusha mwenyewe hata leo na jiambie-“MEMENTO,HOMO”.Ukimuona rafiki yako,kiongozi wako,msanii au bosi wako anayejisahau kujikumbusha,kama unampenda usisahau kumnong’oneza leo-“MEMENTO,HOMO”.Bila Mungu,Bila Unyenyekevu hakuna anayeweza kufika mbali.
 
Neno la busara. Watawala wa awamu hii, wengi wao, katika kutafuta sifa, wamejiondoa kwenye kundi la wanadamu. Ujumbe huu uwafikie. Lakini yawezekana wamevikwa upofu ili watazame lakini wasione, wasikie lakini wasielewe.
 
Katika utawala wa kirumi ilikuwa ni kawaida sana kufanya GWARIDE katika mitaa mbalimbali siku ya kuwapa MEDANI MAJENERALI wa KIJESHI wanaokuwa wamefanya mambo MAKUBWA na ya KISHUJAA katika nchi.
.
Baada ya gwaride kuisha, jukumu la kumvisha TAJI (crown) jenerali aliyekuwa anapewa heshima lilikuwa ni la MTUMWA mmoja anayechaguliwa ambaye maarufu alikuwa anaitwa jina la “Auriga”.
.
Kazi kubwa ya “Auriga” haikuwa KUVISHA taji bali haswa MANENO ambayo alitakiwa kuongea anapomvisha taji jenerali wa jeshi. Alitakiwa kusema kwa KUMNONG’ONEZA “Memento Homo’(Kumbuka wewe ni mwanadamu tu)(Remember,you are only a human).
.
Maneno haya ambayo ilikuwa lazima yasemwe yalilenga KUMKUMBUSHA kila jenerali kuwa bila kujali USHINDI aliopata,UWEZO aliouonyesha au SIFA anazomiminiwa,ASIRUHUSU hayo yote yakampa KIBURI na AANZE kujiona AMESHAFIKA.
.
Ni rahisi sana KUJISAHAU na mtu ukajiona HAKUNA kama WEWE,ni rahisi KIBURI kukuvamia kwa sababu ya SIFA zinazomiminwa kwako,ni rahisi sana KUDHARAU wengine kwa sababu ya CHEO au PESA ulizonazo.Usipokuwa makini unaweza kujikuta unajiona kama wewe ni “mungu mtu”.Kumbuka,wewe ni mwanadamu tu.
.
Inawezekana hauna mtu wa kukunong’oneza,hauna AURIGA pembeni yako,amua kujikumbusha mwenyewe hata leo na jiambie-“MEMENTO,HOMO”.Ukimuona rafiki yako,kiongozi wako,msanii au bosi wako anayejisahau kujikumbusha,kama unampenda usisahau kumnong’oneza leo-“MEMENTO,HOMO”.Bila Mungu,Bila Unyenyekevu hakuna anayeweza kufika mbali.
Screenshot_20210204-025238.png
 
HIVI HAKUNA MTU WA KARIBU ANAYEWEZA KUMUAMBIA JIWE HAYO MANENO[ Momento Homo}? I am sure kama KITWANGA aliweza kumwambia akachukue form za kugombea, anaweza pia kumwambia " Momento Homo" !!
 
Kweli kabisa, mtu amekuwa mwenyekiti wa chama toka 2004 mpka sasa ameng'ang'ania yeye utafikiri uenyekiti ni ufalme! Aondoke aachie na wengine wakiongoze chama
 
Katika utawala wa kirumi ilikuwa ni kawaida sana kufanya GWARIDE katika mitaa mbalimbali siku ya kuwapa MEDANI MAJENERALI wa KIJESHI wanaokuwa wamefanya mambo MAKUBWA na ya KISHUJAA katika nchi.

Baada ya gwaride kuisha, jukumu la kumvisha TAJI (crown) jenerali aliyekuwa anapewa heshima lilikuwa ni la MTUMWA mmoja anayechaguliwa ambaye maarufu alikuwa anaitwa jina la “Auriga”.

Kazi kubwa ya “Auriga” haikuwa KUVISHA taji bali haswa MANENO ambayo alitakiwa kuongea anapomvisha taji jenerali wa jeshi. Alitakiwa kusema kwa KUMNONG’ONEZA “Memento Homo’(Kumbuka wewe ni mwanadamu tu)(Remember,you are only a human).

Maneno haya ambayo ilikuwa lazima yasemwe yalilenga KUMKUMBUSHA kila jenerali kuwa bila kujali USHINDI aliopata,UWEZO aliouonyesha au SIFA anazomiminiwa,ASIRUHUSU hayo yote yakampa KIBURI na AANZE kujiona AMESHAFIKA.

Ni rahisi sana KUJISAHAU na mtu ukajiona HAKUNA kama WEWE,ni rahisi KIBURI kukuvamia kwa sababu ya SIFA zinazomiminwa kwako,ni rahisi sana KUDHARAU wengine kwa sababu ya CHEO au PESA ulizonazo.Usipokuwa makini unaweza kujikuta unajiona kama wewe ni “mungu mtu”.Kumbuka,wewe ni mwanadamu tu.

Inawezekana hauna mtu wa kukunong’oneza,hauna AURIGA pembeni yako,amua kujikumbusha mwenyewe hata leo na jiambie-“MEMENTO,HOMO”.Ukimuona rafiki yako,kiongozi wako,msanii au bosi wako anayejisahau kujikumbusha,kama unampenda usisahau kumnong’oneza leo-“MEMENTO,HOMO”.Bila Mungu,Bila Unyenyekevu hakuna anayeweza kufika mbali.

Kama kusoma hawajui,hata picha hawaoni ?Si wajikumbushe yaliyowafika kina Samwel Doe,Nicolaue Ceausescu,Saddam Husein,Muamar Gaddafi na Mugabe.
 
Wapambe wa Tanzania ndiyo kwanza wanasema Magufuli ni Mungu wa Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom