Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tukubali ama tukatae, ukweli ni kwamba, CHADEMA haikuliangalia suala hili la kina Mdee na wenzake Kwa umakini kama chama Hoja ya kina Mdee ni kwamba! waliapa kulitumikia Taifa kama wabunge wa...
6 Reactions
131 Replies
9K Views
WAANDISHI WA HABARI NA WADAU WAASWA KUSHIRIKI KATIKA UTOAJI WA TAARIFA Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Mwanza imewataka waandishi wa habari na wadau kushiriki...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
VIONGOZI WA SEKTA YA AFYA WATAKIWA KUWATHAMINI WATUMISHI WA CHINI Na. Catherine Sungura, WAMJW Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa (RRH) nchini wametakiwa kusimama katika nafasi zao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box...
29 Reactions
102 Replies
9K Views
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetia saini Hati za Maelewano (MOU) zinazohusu Mpango Mkuu wa Upembuzi yakinifu juu ya ujenzi wa Bandari Shirikishi ya Uvuvi katika eneo la Mpiga Duri Unguja na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
MAT wanapinga "sheria" ya kukamata madaktari waliokimbilia private. Nashauri nao MAT wakamatwe. Na nyinyi wote mnaowaza tofauti mkamatwe
28 Reactions
167 Replies
18K Views
Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa heshima na taadhima, Mimi kijana wako naendelea kulitumikia taifa nikiwa kituo changu cha kazi hapa Mlimani, kuna jamaa wengine wanapaita Jalalani, ingawa...
30 Reactions
118 Replies
11K Views
Salaam Wakuu, Nakushangaa wewe unayeleta Siasa kwenye afya yako. Kumbuka huo mwili hauna spare na afya yako ndo Uhai wako Huku tunakoelekea kila mtu akili kichwani. Nawaonea huruma wanaosubiri...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkutano wa pili wa Bunge la 12 unatarajiwa kuanza leo Februari 2 hadi Februari 12 mwaka huu jijini Dodoma. Taarifa ya Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa katika mkutano huo shughuli zitakazofanyika ni...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Hii ni habari njema hasa kwa Vyama vya Upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live. Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya...
9 Reactions
78 Replies
8K Views
Bunge limeanza na kama kawaida suala la ajira ni kitendawili kwa wabunge ili wapiga kura wafaidike na bodi pia ipate marejesho kutoka kwenye makato. Aidha kuna jicho la pili na la 3 ambalo lazima...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
IMEDHIHIRIKA kwamba Rais John Magufuli amekuwa mkweli na muwazi kwa Watanzania katika mambo mengi ya msingi. Ukweli na uwazi huo una matokeo chanya sana kwenye sekta za Afya, Uchumi, Utawala wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Tangu kuondoka kwa Wakuu wa Mikoa kama Makonda, Mnyeti, Gambo na Mwanri mikoa hiyo kama imesinyaa kwa baadhi ya mambo. Sisemi kuwa maendeleo ndiyo yamesinyaa ila kuna baadhi ya mambo kama hayako...
9 Reactions
52 Replies
6K Views
Ili kuweka kumbukumbu vizuri , Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Kamanda Mwakihaba alishitakiwa kwa makosa ya mtandao baada ya kusambaza taarifa za ofisa kipenyo...
24 Reactions
81 Replies
7K Views
Ni tukio la kuvutia na kufurahisha Mhe. Mrisho Gambo atagawa bure kadi za bima ya afya kwa Wenye ulemavu 100 Shughuli nzima ofisini kwa mbunge huyo kuanzia saa 3 asubuhi Nyote mnakaribishwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za wasaa huu! Tanzania sasa imefikia kundi la mataifa yaliyo uchumi wa kati lakini sasa tunahitaji juhudi na mikakati mingi zaidi iliyo kabambe kuwea kufikia uchumi wa juu tuwe kundi moja...
3 Reactions
10 Replies
919 Views
Baada ya kuchukua form ya kugombea urais wa JMT kutoka Tume ya Uchaguzi (NEC) Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba leo amepokewa na umati wa watu ambao haijawahi kutokea tangia Tanzania ipate uhuru...
12 Reactions
145 Replies
14K Views
Hiki ni Kijiji cha Mbigiri kata ya Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro ambacho kinaoongozwa na diwani anayefahamika kwa jina la Watende Rashidi na mw/kiti wa kijiji anaitwa Jalala. Viongozi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Hapa Kampala leo aliyekuwa mgombea urais dhidi ya Raisi Museveni Bwana mdogo Boby Wine anajumuika na wananchi na wafuasi wa wake na wananchi hata baada ya uchaguzi. Kwa upande wa...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Wana Jf, Nawaonea huruma sana MaDC kwa kuishi kimashaka kama ikitokea kwao baa la njaa likawakumba, pengine ni kutokana na jiographia kuwa wananchi wazazi wao walipopachagua kuishi na kupaita...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom