Kila nikisoma Kitabu cha Mkapa namfananisha sana Jah People na Rostam Azim kama nyota wa mechi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
43,354
2,000
Aina ya siasa alizofanya Rostam Aziz enzi zake hazitofautiani sana na za mzee David Sanga aka Jah people mjukuu wa mganga maarufu pale Makete ambaye aliwapa sana utajiri Wakinga kabla hajaokoka.

Ukiona Jah people anatetea jambo fulani ujue pana maslahi binafsi kama ilivyokuwa kwa Aziz.

Ninamfahamu Sanga tangu miaka ile ya 90 akiwa mpiga debe na baadae diwani ni mtu " mjanja mjanja" sana mithili ya George Zamdela wa Isidingo.

Maslahi yake kwanza ( akiwa ameyaficha) kisha ya wananchi baadaye.

Maendeleo hayana vyama
 

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,986
2,000
Huwa mnakimbilia kuweka title kubwa then mnashindwa kuzitetea kwenye content!! Ulichoandika hakishabihiani na heading hata kidogo.

Hopeless!!
 

Jinikashkash

JF-Expert Member
Nov 27, 2020
457
1,000
Kama role model wako ni huyo mwizi wa kwenye malori mstaafu na asie na elimu kabisa basi tatizo lako ni kubwa kuliko tulivyodhania
Take a tranquilizer and cool down before you write Idiocracy
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
7,220
2,000
Tatizo la Rais ni kupenda kwake kusifiwa na kutukuzwa kuliko pitiliza.

Kupitia udhaifu wake huu Wanafiki, Wachumia tumbo,Wazandiki, Wafitini, Wabadhirifu, Wapiga dili, na makundi mengine mengi tu ya kihalifu katika jamii; yamekuwa yakitumia njia hii kwa umakini mkubwa kumpamba Mzee kwa lengo moja tu la kutimiza agenda zao OVU na za SIRI.

Atadharaulika sana iwapo ataingia katika huu mtego.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom