Nini kimetokea au kuna nini kinaendelea nchini Tanzania kwani kwa miaka mitatu iliyopita sijawahi kukiona kama leo!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,875
Sijawahi kuona Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli akitoa Hotuba huku akiwa mpole, makini, hana maneno mengi kama tulivyomzoea halafu akiwa si mchangamfu kama kawaida yake na ukienda mbali zaidi ukitumia Saikolojia ya Kimwonekano utagundua kuna jambo au kuna kitu.

Je nimeona hili peke yangu tu?

Nawasilisha.
 
Hata jana, Ndugai alikuwa a bit composed!
 
Sijawahi kuona Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli akitoa Hotuba huku akiwa mpole, makini, hana maneno mengi kama tulivyomzoea halafu akiwa si mchangamfu kama kawaida yake na ukienda mbali zaidi ukitumia Saikolojia ya Kimwonekano utagundua kuna jambo au kuna kitu.

Je nimeona hili peke yangu tu?

Nawasilisha.
Ushamba umemwisha?au changamoto za kidplomasia zinamchanganya?by the way swala LA koro show linamchanganya sana kwa ubabe alotumia amejiaibisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli akitoa Hotuba huku akiwa mpole, makini, hana maneno mengi kama tulivyomzoea halafu akiwa si mchangamfu kama kawaida yake na ukienda mbali zaidi ukitumia Saikolojia ya Kimwonekano utagundua kuna jambo au kuna kitu.

Je nimeona hili peke yangu tu?

Nawasilisha.
Hata Mimi hili nimeona lakini ashachelewa ngoja Kansan izame mpaka ubongoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda amekuona wewe, who knows?
HOW DICTATORS COME TO POWER AND ATTAIN GLORIFICATION BY PEOPLE

THE DICTATORS

They Emerge in a Social and Economic Context

THERE ARE NO DICTATORS WITHOUT FOLLOWERS eg Barbarosa, Sheikh Ubwabwa of DSM, Job Lusinde, Johnthe baptist and Co.Ltd

They Are Charismatic

They Appear Sympathetic Toward Their Own Kind
 
Back
Top Bottom