UKISOMESHWA NA SERIKALI,NENDA KAWATUMIKIE WATANZANIA.
Leo 19:10hrs 30/01/2021
Serikali inakupa full sponsorship ya utofauti exceptional for unique medical courses mfano areas of specialization...
United Republic of Tanzania | Presumptive positive case of Ebola virus disease
On 10 September 2019, WHO received unofficial reports of a suspected EVD case in Dar es Salaam, United Republic of...
Wana-CCM dawa ya Lissu ni moja tu, Mtoto akililia wembe mpe; chambeche Wahenga.
Huyu Lissu analilia mdahalo na mtukufu Rais, asizubaishwe. Kwa kuwa mdahalo ni kipimo bora cha wagombea na kwa kuwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Bi. Yustina Rahhi kuwa Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya CCM, Rahhi ameteuliwa kufuatia kifo cha Mhe. Martha Umbulla aliyekuwa Mbunge wa CCM Viti Maalum.
Rais Magufuli amefurahishwa na kitendo cha Jaji wa mkoa wa Mara mhe. Jaji Galeba kwa kuandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili badala ya Kiingereza kama ilivyozoeleka.
Na kwa maana hiyo Rais...
Kwenye kipindi Cha TBC muda huu mdahalo wa uongozi mama Anna Makinda anasema yeye alikuwa na wenzake 20 ambao ni wapinzani bungeni na anasema walikuwa ni self made opposition. Na walikuwa wakali...
CCM NIPE UWEZO,NITANGAZE UJAMAA TANZANIA KOTE.
Leo 10:15hrs 05/02/2021
Tarehe 5 mwezi wa pili tunaadhimisha kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi,CCM kilichozaliwa tarehe 5 February...
WanaJF nipo naangalia tv channel ten wanatangaza live matangazo ya bunge mjadala wa hotuba ya rais ambapo matangazo yamekatishwa baada ya mbunge wa Singida kaskazini Ramadhani Ighondu kutamka...
Miaka ya 2011 au 2012 mimi binafsi bila kuhadithiwa nilishuhudia askari mmoja wa jeshi la Magereza kijana mdogo asie na cheo (rank yake inaitwa Warder) akihangaika kumuulizia mitaani pale Mpwapwa...
KITONGOJI CHA ICHENJEZYA MAMA WILAYANI MBOZI WAIANGUKIA SERIKALI HAWANA BARABARA,
Wakazi wa kata ya Hasanga kitongoji cha Ichenjezya mama wameiangukia serikali kuwasaidia kupata barabara ya...
#PHASEone, KLINIKI YA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KIGAMBONI YAHITIMISHWA NA DC #SARA MSAFIRI
Zoezi hili la kusikiliza na kutatua kero mbalimbali lilifanyika katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa...
Mabibi na mabwana kwa hakika hekima ni uhuru.
Bila ya kupepesa macho, inataarifiwa kuwa pale UDSM wamechukua hatua hii ya msingi sana:
Japo pale #5 mwishoni mwishoni pana ka ukakasi, ni hatua...
https://wwwnc.cdc.gov/travel/notices/covid-4/coronavirus-tanzania
CDC (Centres for Disease Control and Prevention) wametoa tahadhari kwa wasafiri duniani kote kuhusu kiwango cha maambukizi...
Nimeona kupitia luninga Wahe. Madiwani wakijadili juu ya uanzishwaji wa Wilaya nilizozitaja hapo juu ya Kisesa na Katoro.
Binafsi naishauri Mamlaka inayohusika kuacha kuanzisha Wilaya hizi kwa...
Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa eti NIMRI 'walikuwa wako karibuni kugundua' dawa ya UKIMWI mara baada ya mda kidogo mambo yakawa magumu, wakaingia mitini... Wakajichimbia weeee, baadaye tena...
KUWA NA TATIZO KATIKA MFUMO WA HEWA SIO KUUMWA CORONA - PROF. MCHEMBE
Na Rayson Mwaisemba, WAMJW- Mwanza.
KATIBU MKUU Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Mabula...
Mbunge wa Kawe baba askofu Gwajima amesema jimbo lake la Kawe lina barabara zenye urefu wa takribani kilomita 1400 sawa na umbali wa kutoka DSM hadi Kigoma lakini Tarura wamepewa bajeti ya...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geoffrey Pinda, amesema Serikali haina Sheria kandamizi akieleza kuwa, Sheria zote zinazotumika Nchini zilitungwa na Bunge ambalo halijawahi kutunga Sheria...
Ndugu zangu!
Ni kweli kwamba wafungwa wanapaswa kuzalisha ili kujihudumia kwa kiasi kikubwa. Badala ya kuwa sehemu ya mateso na mzigo kwa serikali, mazingira wezeshi ni muhimu ili kufanikisha...
TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa
Mkoa wa Mwanza ni miongoni mwa mikoa nchini yenye watu wanaoishi katika mazingira magumu na maisha duni.
Mkoa huu ni kati ya mikoa nchini ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.