Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Tusitarajie wabunge wengi kuwa na busara kulalamikia kero za wananchi, kama maji, elimu na miundo mbinu mibovu. Maana wabunge wengi ni wa CCM na wao walikiri kuwa hawastahili kuwa bungeni bali walibebwa kwa mgongo wa JPM.
Kwenye hili bunge tutarajie kusikia haya tulioanza kusikia JPM kuongezewa muda, hata kama yeye hataki, tumchangie zawadi mwenyekiti wetu. Zahanati zipo vizuri maana awamu ya kwanza ya JPM zimejengwa nyingi hata kama hazina dawa. Kingine tutarajie kusikia wanasema Dodoma ni kama Toronto.
Hawa mburula 19 wa Chadema mufu ndio hovyo kabisa, mara kura ziliporwa! Sasa mbona mmeenda kuungana na waporaji? Mara kesi zinazohusu uchaguzi wa mwaka jana zifutwe! Kisa yeye alifutiwa kesi na Dipipi kimazabe. Kwa hawa wa Chadema tutarajie wakiomba kufanyiwa party ya usiku na Ndugai ili wale mviyo na kuku huku makamanda wakisota mitaan.