Nadhani wamekusikia hata kama hawapendi kukusikikiza.
IGP Siro huu ujumbe wako umewagusa wengi sana hasa wataanza wenye maisha ya kawaida sana.
Pia baadhi ya viongozi wetu wanaojiona kuwa ni...
Hongera CCM kwa kutimiza miaka 44.
Jana nimefuatilia kidogo mjadala wa CCM uliokuwa unaongozwa na Comred Polepole, wachangiaji wa mada walishindwa kueleza sababu hasa za nchi yetu kushindwa...
Katikati ya wiki hii uliwataka wanaodaiwa na Magereza wailipe haraka na kama hawatafanya hivyo utumiwe majina yao ili uzikate hizo pesa za madeni kupitia Wizara ya Fedha! Mhe. Rais, Serikali...
Salamu wanajamvi!
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mambo mawili ambayo kwa mtazamo wangu serikali ni kama imepigwa KO! Au unaweza kusema imepigwa mweleka kabisa. La kwanza ni kuhusu ajira...
Modes naomba miufute huu uzi wala kuunganisha kama itawapendeza
Imani zetu zinamtaja MUNGU kama wa pekee, asiyebadilika wala kufafanishwa. Mungu alivyotuumba alitupa utashi ambao ndio kitu...
•Manununuzi ya vitu vyote katika wilaya au halmashauri hujadiliwa na baraza la madiwani .
•Hivyo ununuzi wa magari hayo ulilidhiwa na wajumbe wa mikutano hiyo (bila shaka).
•ofisi ya waziri mkuu...
Jana Mh Rais akiwa eneo la Kizota ukifungua nyumba za askari wa Magereza ulitamka kuna eneo wananchi wanafukuzwa na mapanga.
Ni kweli kabisa. Cha ajabu uongozi umekaa kimya na kuwapa wababe wenye...
Jaji Imani D. Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aligombea nafasi ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu
Katia Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo...
Ndugu wana Jf nyote ni mashahidi namna ndugu Humphrey Polepole alivyozunguka hii nchi na rais JPM kunadi na kuuza porojo kuwa kwa awamu ya tano ilani ya Ccm imetekelezwa kwa kasi na kwenye sekta...
Inawezekana ni kweli hana utaalamu mzuri wa kuzungumza kwa ufasaha lugha za kigeni, hii si dhambi maana hata wao lugha zetu hawazijui kwa ufasaha kwanini sisi kujua zao iwe fahari?
Japokuwa...
Tundu Lissu alilaaniwa kwa kuzuia michango ya lazima kwa wananchi. Sasa kila mwaka kuna michango kwa ajili ya madarasa, ni ukweli kwamba michango hii ni ya lazima kwa wananchi.
Sioni taabu sana...
Habari zenu wadau!
Naomba niwakumbushe vijana wenzangu kuwa Kuna Jamaa aliwahi kufanya Tafiti Jumuishi iliyolenga kutatua matatizo au kuyapunzia ukali matatizo nguli ya Taifa hili.
Jana...
Nimeikuta hii kwa kaka Michuzi .........
Na Hassan Abbas
WAKATI dunia ikiingiamuongo wa pili katika karne ya 21, yaani mwaka 2012,wanataaluma wawili waliandikamaoni mawili kuonesha hisia zao...
Nimesikiliza baadhi ya michango ya wabunge wetu juu ya Corona nikabaki na maswali mengi najiuliza hawa wanaongea bungeni kama watu gani?
Anasimama mbunge bungeni anachangia mjadala kwa kuelezea...
Jana chama cha mapinduzi kiliadhimisha miaka 44 tangu kianzishwe. Ni umri wa mtu mzima ambae anaenda kuzeeka.
Lakini CCM hii iliyoanzishwa wakati Mwl. Julius Nyerere akiwa mkuu wa nchi...
Kumbe Channel Ten inatambua kwamba serikali zinazofungia mitandao ya kijamii ni za kidikteta.
Kwenye taarifa Yao ya habari wamezungumzia udikteta wa serikali ya kijeshi ya Myanmar iliyofungia...
Hakuna chembe ya shaka, Mwalimu Nyerere alikuwa zawadi kubwa ambayo Mwenyezi Mungu alitupa sisi Watanzania na Afrika.
Tarehe 13 April mwaka 2022 Mwalimu atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wote wa serikali, wahakikishe wanawafikia wananchi kwenye maeneo yao, kusikiliza kero zao na kuzitafutia ufumbuzi.
Alitoa kauli hiyo...
Tunaiomba Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kupitia wilaya ya kinondoni kutupa maelezo ya kueleweka kusimama kwa mradi wa mto ng'ombe unaopita maeneo ya sinza mtogole mpaka mkwajuni kusimama kwa...
Serikali yaanza kuwafuatilia Madaktari walioajiriwa Halmashauri na kuacha kazi au kuhamia sekta binafsi kati ya 2015 - 2021
Ikumbukwe Januari 30, 2021, Rais Magufuli akiwa mkoani Tabora alitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.