Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Inatia aibu kuona viongozi wa chama kikubwa kama Chadema na wafuasi wao wanataka kuingilia mamlaka ya uteuzi aliyonayo rais wa JMT. Ina maana hamna muda wa kupitia na kuperuzi katiba ya JMT? Kwa namna hii mnafaa kuongoza nchi kama hata vifungu vya katiba ya JMT hamuwezi kuvipitia na kuvielewa?
Ibara ya 36 ya katiba ya JMT imempa malaka makubwa rais kuunda office za umma na kufanya uteuzi/ ketengua anavyotaka yeye mwenyewe bila kuingiliwa na mtu.
Ibara ya 36 (2) imetanabaisha wazi kuwa rais atakuwa na mamlaka ya kuteua/ kutengua watu washike nyazifa ambazo zitakiwa zishikiliwe na watu ambao lazima wateuliwe na rais.
Hivyo basi watanzania mnatakiwa muheshimu mamlaka ya uteuzi aliyonayo rais wa JMT sio kuwa mnahoji bila kuwa na hoja zenye mashiko. Vinginevyo mtapata aibu kubwa.