Taarifa kwa Umma: Sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi Zanzibar yatembelea Ofisi za ACT - Wazalendo kwa lengo la kutoa pole ya Kifo cha Maalim Seif

Ni jambo jema, nawashauri huku Bara wafanye jambo la hekima kuziba madhila ya kishindo 2020.
 
Sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi Zanzibar imefanya ziara maalumu kuwafariji na kuwapa pole ndugu zao wa ACT - Wazalendo.

Ziara hiyo ya faraja na upendo wa hali ya juu inafuatia kifo cha Mhesh Maalimu Seif Sharifu Hamadi aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Rais Zanzibar.
well look who is here
 
Back
Top Bottom