Nafasi za Polepole na Bashiru tayari zimejazwa, tunasubiri kikao tu!

Mtemi02

JF-Expert Member
May 1, 2020
320
221
Ni suala la muda tu. Ila kila kitu tayari kiko sawa na kinachosubiriwa ni muda tu.

Wanasiasa wawili vijana ndani ya chama tayari wako kwenye rada za mwenyekiti. Moja kati yao inaitwa usiyempenda kaja.

Kama unavyojua viongozi wa chama wana nguvu kuliko viongozi wa serikali. Yani fikiria Polepole alivyokuwa akitembelea Mkoa fulani kuanzia RC, DCs, Wakurugenzi, Wabunge wote walikuwa lazima waoneshe uwepo wao mbele yake. Na ikiwezekana wanatoa maombi yao pale na akitoa maagizo hakuna mjadala.

Sasa hiyo nafasi anapewa Bro. PCM, hapo ndiyo picha linaanza upyaaa, ile ya DSM mbona chamtoto saaana.

Yani kama ulikuwa unakosa raha na amani wakati ule basi sasa hivi utaugua ugonjwa wa kushindwa kupumua

Mungu Ibariki Tanzania
 
Huyo braza wako kama akirudishwa hatakuwa na uwanja mpana kama ule wa mwanzo, sasa hivi hata afanye nini ataishia kuwachezea CCM wenzake full stop.

CCM ni kikundi kidogo sana cha watu kinacholindwa na dola na Tume ya uchaguzi.
 
Hata kulitaja hilo jina la ccm najiona mnyonge
 
Back
Top Bottom