Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Madam President; I know you are in mourning and from my experience we are most vulnerable emotionally and intellectually when we are ins sorrow. However be warned that as a president of our...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika. Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
8 Reactions
191 Replies
80K Views
Tunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao. Tafadhali tuchukue tahadhari...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Nitaishangaa ccm sana 2020 msimpomkata mgombea yule haki vile hivi mnashindwaje watu wote chamani kumpinga kwa nguvu zote? Mtoeni kwa nguvu chamani hakikisheni hashindi duru ya pili tumieni...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
2020 usishangae kuona yatakayotokea nchi inaenda kubadilika rangi na kuanza upya Utakua ni mwaka wa kuheshimiana sio tu kisiasa bali nyanja zote Kwa kuichukia ccm niiteni tu wakala wa mabeberu...
15 Reactions
18 Replies
3K Views
1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu. 2...
32 Reactions
109 Replies
10K Views
Wanabodi, Siku za weekend tuwe tunaleta mada za furaha furaha with a light touch ya kumbukumbu njema. Leo katika pita pita yangu humu JF, nimekutana na comment moja ya mmoja wa ma GT wetu humu...
64 Reactions
164 Replies
18K Views
UPDATES KUHUSU KESI ZA YERICKO NYERERE* Yericko Nyerere alikamatwa na Polisi siku ya J'5 tarehe 31/05/2017 usiku na kuwekwa Mahabusu Central Police DSM. Hakupelekwa Mahakamani hadi Ijumaa tarehe...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya Wanawake wameanza kuchanganya mambo wanadhani Mhe. Samia ni Rais wa Wanawake, napata wakati mgumu kuwaelimisha kuwa huyu si Rais wa Wanawake. Ni Rais wa Tanzania. na hili wanapaswa...
11 Reactions
85 Replies
7K Views
Nasikitishwa Sana na kitendo cha kufanya karamu msibani. Kusheherekea kifo cha mwenzenu si Jambo la uungwana hata kama mitizamo yenu na misimamo vilihitilafiana. Tuhuzunike na wanaohuzinika...
87 Reactions
326 Replies
24K Views
Nimejaribu kwa muda mrefu kuwafananisha hawa viongozi wawili ambao mmoja ametangulia mbele za haki kwa mapenzi ya Mola, Hawa viongozi wawili ni Energetic na Ni wakali sana kwenye rasilimali za...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Sijapata kuona heka heka za kiwango hiki katika jiji la Mwanza ambapo watu wamekesha kumsubiri mpendwa wao hayati Magufuli waweze kutoa heshima za mwisho. Kwa kweli hayati Magufuli anakubalika...
8 Reactions
110 Replies
10K Views
Habari zote zilizopo katika Magazeti haya Mawili tajwa na katika hizo 'Kurusa' tajwa zimeweka wazi kabisa kuwa Watanzania wengi ( sijui na Mimi GENTAMYCINE nimo au simo ) kwamba wana matatizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care. Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care Ninachosema ni kwamba...
21 Reactions
93 Replies
10K Views
Tayari msafara umeshajipanga kuondoka Ikulu Chamwino kuelekea bungeni kuagwa kisha utapelekwa uwanja wa Jamhuri ========= DODOMA: WABUNGE WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA DKT. MAGUFULI Spika wa...
10 Reactions
455 Replies
39K Views
Msanii mkongwe wa muziki, Selemani Msindi maarufu Afande Sele, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mjini Morogoro kwa mahojiano baada ya video yake iliyokuwa na maudhui ya kumlaumu Mwenyezi Mungu kwa...
11 Reactions
157 Replies
18K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu, nina hoja yangu ninayoileta katika mtindo wa swali. Kama walivyofanya kwa mkoa wa Dodoma wakamwaga pesa ili pajengeke, je wakiamua kusitisha miradi kote ambayo siyo...
1 Reactions
2 Replies
663 Views
SERIKALI imekanusha tuhuma zilizotolewa na Waziri anayeshughulika na masuala ya Wakimbizi Nchini Uganda, kuwa Tanzania inawalazimisha Wakimbizi walipo katika kambi mbalimbali Nchini kurejea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello Friends of Me!!! Good afternoon to y'all. Kwa mara nyingine nawaleteeni habari njema. Alfajiri ya tarehe 6 January ya mwaka huu, niliondoka Nairobi Hospital na kusafiri hadi Leuven...
57 Reactions
203 Replies
46K Views
Msemaji wa Serikali amesema kuwa, Mbunge Tundu Lissu bado ni mgonjwa na yuko wodini hivyo Serikali haioni busara kulumbana naye kwa sasa, badala yake inaendelea kumuombea apone haraka. ---- Leo...
15 Reactions
385 Replies
46K Views
Back
Top Bottom