Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshimiwa Rais I salute you!! #Hapakazitu! Naam ni wiki ya neema tupu nchini yaani kila sekta unasikia mafanikio tu yaani unasikia makeke ya awamu ya Tano. Nasikiliza Taarifa ya habari hapa...
30 Reactions
66 Replies
5K Views
Tumpongeze,tumsikilize na tumuunge mkono mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli kwa kutumia usomi,uanasiasa na urais wake katika kutukumbusha umuhimu wa utu wetu na vionjo vyake. Sisi ni waswahili...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau wa sekta ya Madini ya Tanzanite jiiini Arusha wameeleza namna hayati John Magufuli alivyokuza sekta hiyo na kuongeza Pato la Taifa na kupelekea kuzalisha mabilionea wapya wa Madini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bila kupindisha maneno nchi yetu kwasasa inakabiliwa na mabadiliko makubwa ya mfumo. Mfumo wa zamani wa vyama vingi na demokrasia unaelekee kufa na kuja mfumo mpya kama wa Rwanda, Urusi na China...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula...
7 Reactions
82 Replies
7K Views
Wanabodi, Leo nimepata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa, mada ya leo ikiwa ni swali kuhusu, kunapotokea mkanganyiko kati ya ukweli wa rais wetu, Dr. John...
28 Reactions
116 Replies
12K Views
Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana. Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani? Je, ni Ufipa? Na kwanini mwakani watakosa chakula? Hata hivyo Ndugai...
36 Reactions
223 Replies
26K Views
Wanabodi, Angalizo Kuhusu Uzalendo. Rais wa nchi ni kama baba kwenye familia, na sisi wananchi wote, haijalishi umri, rais ni kama baba yetu, sisi ni kama watoto, hata kama kuna waliomzidi umri...
27 Reactions
340 Replies
46K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, Je, Rais Magufuli ni Mpango Wa Mungu Kwa Tanzania, na Jee Awasikilize watu wa Mungu, wakiwemo, Maaskofu, ambao nao ni binadamu tuu kama yeye, Au ni mpango wa...
10 Reactions
142 Replies
12K Views
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. John Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Napenda nimshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi kwa kuendelea kuliongoza Taifa letu...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Tunakuja kumuaga Dr John Pombe Magufuli. Mkuu wa Mkoa rafiki yangu Mongela ni vyema ukajiandaa kwani mambo ni serious sana na wapendwa wa Magufuli ni wengi. Omba msaada kutoka mikoa jirani
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanabodi, Baada ya figisu figusu za hapa na pale za uchaguzi wa marudio wa majimbo ya Kinondoni na Siha uliohusisha kampeni kubwa za nguvu, zilizopelekea umwagaji wa damu, hivyo chaguzi hizi kuwa...
14 Reactions
104 Replies
13K Views
Wanabodi, Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandishwa humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea!. Kwenye mazuri wajameni...
24 Reactions
168 Replies
20K Views
Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema baadhi ya wananchi walioshiriki shughuli ya kumuaga Rais John Magufuli wamejeruhiwa baada ya kukanyagwa na...
3 Reactions
95 Replies
10K Views
Nimemfahamu Paulo Makonda vyema baada ya kuteuliwa kwake kuwa DC wa Kinondoni. Niseme wazi kuwa tabia yake inadhihirisha utovu wa nidhamu, kujipendekeza kuliko pitiliza kunakopelekea kuwavunjia...
0 Reactions
371 Replies
60K Views
Kwenye kuuaga mwili wa hayati Hayati Magufuli tunaona wananchi wa kawaida tu ndio wanazimia, kudondoka na baadhi hata kufa. Mbona sasa hatuoni haya yakiwapata viongozi, hasa waliokuwa karibu...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
Marehemu Raisi Magufuli ameondoka na kaiwacha nchi katika sintofahamu ya manunguniko ya matokea ya uchaguzi ,tunaweza kusema ameiwacha nchi wananchi wake wakiwa ndani ya mgawanyiko mkubwa sana...
0 Reactions
2 Replies
606 Views
Wenye chuki wote popote alipo wacha wajinyonge! Mabibi na mabwana ni muda sasa wa kuuzoea utendaji mpya wa serikali yetu. Hii mambo ya kuzurura kariakoo au magomeni siyo dili. Wito wa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Nauliza tu kwa nyie makamanda mliomo humu jamvini, baada ya komandoo wa kupambana na ufisadi hayati Magufuli kumaliza safari yake hapa duniani, CHADEMA itairudia ile sera yake ya kupambana na...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Asalaam Aleykum, Kwako Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan. Pole na hongera kwakupewa nafasi hii adhimu inayotafutwa na kutamaniwa na watu wengi. Mimi na Watanzania wenzangu tunachukua nafasi hii...
10 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom