Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Heshima kwenu wakuu. Huyu mkuu wa Wilaya ya Hai alienda kuharibu shamba la mbunge wa Hai Mhe. Mbowe tena aliliharibu kwa mbwembwe mbele ya Camera za Video, Sasa leo analalamika nini? Jana...
40 Reactions
249 Replies
32K Views
Kutoka katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza tayari viongozi wa kiserikali na Chama cha Mapinduzi pamoja na wananchi wa Mkoa wa Mwanza na mikoa jirani wameshaanza kuingia kwenye uwanja huu...
8 Reactions
139 Replies
15K Views
Hahaaaa haaaaaa Tanzaniaaaaa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi bwana Mwigulu Nchemba anadai kuwa taasisi yoyote (NGO) itakayotetea au kupingana na amri ya rais ya kuwaruhusu watoto watakopata...
15 Reactions
155 Replies
14K Views
Watu tayari wameshaanza kufurika Uwanja wa Amani Zanzibar. ==== MWILI WA HAYATI DKT. MAGUFULI WAWASILI ZANZIBAR Mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli umewasili Visiwani Zanzibar ukitokea Makao...
9 Reactions
227 Replies
23K Views
Jana usiku nimeambiwa na mtu kama story tu kuwa 1... " Kuna jamaa amepatikana na ugonjwa wa corona pale Aga Khan hospital " 2. "Leo asubuh kwenye mishe mishe kariakoo nmemkuta mtu akisimulia...
8 Reactions
95 Replies
19K Views
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea"...
52 Reactions
236 Replies
22K Views
Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia Kama ni mtu sahihi wa kuendeleza kazi za mtangulizi wake ama la!; ikiwemo miradi mikubwa Kama yupo kwa ajili...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Baada ya kufikiria mwenendo wa vyama vya upinzani Tanzania hususani CHADEMA pasipo shaka nimejiridhisha kwamba Mhe. Freeman Mbowe ndio anafaa kupeperusha bendera ya Chama Cha Demokrasia na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya Madawa ya Kulevya Mdude Nyagali kesho tarehe 25/3/2021 atafika Mahakamani , ambako ataanza kujitetea dhidi ya tuhuma zinazomkabili za madawa ya kulevya Wote mlioko...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakati Watanzania wanajiandaa kwa shauku kubwa kuishi ndani ya utawala wa Rais wa JMT ambaye ametokea kuwa mwanamke, kuna majadiliano mengi yanaendelea huku na huko. Baadhi ya majadiliano haya...
12 Reactions
53 Replies
8K Views
Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo? Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga...
5 Reactions
73 Replies
7K Views
  • Closed
Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye hakupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi...
6 Reactions
107 Replies
38K Views
Siku zilianza kukatika toka tangazo la kwanza la kufariki kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli. Hebu niambie katika mazingira yalivyo hapo chini kwenye picha unaanzaje kukataa au...
10 Reactions
51 Replies
6K Views
Taarifa nilizonazo ni kwamba leo saa 1:30 asubuhi, baada ya mitandao kupiga kelele na magazeti kuandika habari za serikali kumtisha Askofu Severine Niwemugizi, JPM amempigia simu na kum-sweet...
17 Reactions
173 Replies
24K Views
  • Closed
Ndugu Wilson Kabwe, aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar na baadae kusimamishwa kazi mwanzoni mwa mwezi Mei, amefariki dunia. Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la...
20 Reactions
406 Replies
107K Views
MJADALA KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI ZETU! Nimeamua kufungua mjadala huu ninaoamini ni muhimu kwa lengo la kuelimishana kuhusu Sheria na Katiba za nchi mbalimbali! Mjadala huu utaenda kwa njia...
0 Reactions
1 Replies
774 Views
Tulifika mimi na wenzangu kadhaa wa kazini. watu walikuwa wengi hasa viongozi waliopo madarakani na pia wastaafu. Kabla sijaingia umatini nilipata muda mzuri wa kusimama nje kuangalia wageni...
23 Reactions
34 Replies
6K Views
Wana Jf Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Ninaposema Dr. Magufuri ni Nabii wa Africa aliyetumwa kuikomboa Africa mara ya pili...
13 Reactions
94 Replies
9K Views
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi! Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya...
28 Reactions
108 Replies
14K Views
Kuna mijadala ya chini kwa chini kutoka Tanzania bara ,kuwa sasa ni zamu ya Zanzibar kujengwa iwe kama Dubai Marais wawili kutoka Zanzibar kwenye jamhuri moja washindwe wenyewe kuijenga Zanzibar...
3 Reactions
9 Replies
914 Views
Back
Top Bottom