Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,592
- 11,831
1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.
2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu, mawakili n.k wote kwake ni mambumbumbu tu wasiojua kitu kwenye sheria.
3: Yeye ndio msomi peke yake Tanzania nzima, walio baki wote ni vilaza kuanzia walimu wake walio mfundisha hadi viongozi wenzake alio nao chamani. Kwakifupi kwamba yeye ndio msomi pekee hapa Tanzania na ana fani na taaluma zote kabisa hajakosa hata moja.
4: Tanzania haikuwahi kuwa na kiongozi bora tangu Uhuru kuanzia baba wa Taifa ( ambaye kwake ni muuaji na ni mkolini aliye kalia Zanzibar kimabavu) hadi hawa viongozi wa sasa. Yaani ngazi zote kuanzia Marais wote hadi Wajumbe wa nyumba kumi wato kwake yeye ni takataka.
5: Ni mtu aliye tayari kutetea na kuunga mkono chochote ili mladi tu kinaisema vibaya Tanzania.
Yaani chochote kile kinachoweza kutumika kushambulia Tanzania na viongozi wake yupo tayari kukiunga mkono mladi tu kinampa faida kisiasa.
Hayo ni maoni yangu sio lazima yafanane na yako.