Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hello Friends of Me!!! Good afternoon to y'all. Kwa mara nyingine nawaleteeni habari njema. Alfajiri ya tarehe 6 January ya mwaka huu, niliondoka Nairobi Hospital na kusafiri hadi Leuven...
57 Reactions
203 Replies
46K Views
Msemaji wa Serikali amesema kuwa, Mbunge Tundu Lissu bado ni mgonjwa na yuko wodini hivyo Serikali haioni busara kulumbana naye kwa sasa, badala yake inaendelea kumuombea apone haraka. ---- Leo...
15 Reactions
385 Replies
46K Views
Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari. Askofu Gwajima...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Kwa namna maisha yalivyo magumu na kwa muda uliotumika kukusanya milioni tano zakumwepusha Yeriko Nyerere na kifungo, nakiri kuwa Hawa watu wanaumoja usiomithilika. Lisaa limoja kupata 5M kwa...
12 Reactions
14 Replies
1K Views
Amesema huku anasoma hotuba yake akimnukuu Raisi Mstaafu Jakaya kikwete katika Hotuba yake ya Ufunguzi wa Bunge la Kumi Mwaka 2005. sasa kwa Taarifa yake kuwa Mwaka 2005 lilikuwa ni Bunge la...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hatimaye Jeshi la wananchi wa Tanzania limefanikisha zoezi la ujenzi wa Ukuta kuzunguka eneo la uwekezaji wa madini ya Tanzanite kama ilivyoamriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
21 Reactions
209 Replies
26K Views
Tanzania Imekuwa Ikionekana Kutoa Elimu Isiyokidhi Kulingana Na Muda Na Mazingira Mategemeo Ya Mtu Mwenye Elimu Ya Msingi Ni Kuwa Inabid Awe Na Uwezo Wa Kufanya Mambo Madogo Madogo Kama Kilimo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chonde chonde wanasiasa na matapeli wa kisiasa ! Tupo #teammagufuli wa ukweli ambao tulitoa jasho na damu kwa ajili ya Mheshimiwa Magufuli ili tu aweze kuongoza na kuibadilisha Tanzania. sisi...
20 Reactions
138 Replies
9K Views
Ukiwa msomi na mwenye kupembua mambo utakubaliana na ahadi anazotoa Magufuli kwa kuwa zipo kwenye mipango ya mda mrefu ya serikali. Kimsingi ahadi zake zinatekelezeka kwa kuwa zimejikita...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkalimani mmoja nchini Tanzania, ambaye alikamatwa kwa kutoa kanda ya video ambayo alikuwa akitafsiri visivyo matamshi ya mtalii, amefikishwa mahakamani leo. Mkalimani huyo alikamatwa wiki...
4 Reactions
101 Replies
11K Views
Tulitangaziwa kwa kipindi kama miezi mitatu au minne hivi kwamba kuanzia sasa madeni ya umeme kwenye taasisi za serikali au umma yatabebwa na kulipwa na hazina moja kwamoja. Utafiti wangu...
9 Reactions
88 Replies
10K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasili Zanzibar akitarajiwa kupokea na kuhitimisha mbio za Mwenge kitaifa. Mkurugenzi wa mawasiliano ya rais Ikulu ndugu Gerson Msigwa amethibitisha...
5 Reactions
87 Replies
11K Views
Wazee, Watoto na wagonjwa wa Wilaya ya Chato Mkoa wa Geita na mikoa jirani wameshauriwa kuaga mwili wa hayati Rais John Magufuli kwa kufuatilia kwenye vyombo mbalimbali vya habari vinavyorusha...
9 Reactions
103 Replies
10K Views
Magufuli accuses oil firms of profiteering President of Tanzania, John Magufuli President John Magufuli of Tanzania has accused the international oil and gas companies of seeking huge profits...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukiona watanzania vibaraka wameamua kushirikiana na vyombo vya habari vya nje kama DW na The economist na vyenyewe vikakubali kutumika basi ni wazi kabisa kuwa Rais Magufuli ndio Rais bora kabisa...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Hii ni kauli ya mh Jakaya Kikwete akisema Magufuli hataki Uzembe,Hana utani na wazembe na ndio maana wazembe wanamchukia na kumuogopa.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
UKAWA endeleeni kusubiri mkono udondoke kama fisi!! CCM imeendelea kuwa nguli wa siasa Afrika kwa mfumo wake wa kichama unaoendeshwa kama serikali badala ya taasisi. Hivi kwa akili zenu fupi...
8 Reactions
69 Replies
7K Views
Hakuna mwenye uchungu wa nchi hii zaidi ya mwananchi wa nchi hii.Wafanyabiashara wetu ambao ni wazalendo wanapaswa kusikilizwa na kupewa support. Siamini kama nchi itajengea na muwekezaji kutoka...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
CCM OYEEEEEEE! Kwa mara ya kwanza tangu Taifa letu liwe huru tunaenda kushuhudia chama tawala kikienda kuweka historia mpya kama ilivyo hulka yake kwa kuzindua kampeni za uchaguzi kwa namna ya...
39 Reactions
139 Replies
12K Views
People's power ni tafsiri kubwa Sana na nzito ambayo kwa macho ya kimwili huwezi kuitafsiri zaidi ya kutoa kejeli lakini kwa walioisoma ibara ya 8 ya katiba ya JM wakajua tafsiri ya sheria juu ya...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom