Kwa nilichokiona tu katika Gazeti la Mtanzania Ukurasa wa 5 na la Nipashe Ukurasa wa 2 nawashauri NEC 'Wahaairishe' Kwanza Uchaguzi Mkuu hadi tukipona

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,795
Habari zote zilizopo katika Magazeti haya Mawili tajwa na katika hizo 'Kurusa' tajwa zimeweka wazi kabisa kuwa Watanzania wengi ( sijui na Mimi GENTAMYCINE nimo au simo ) kwamba wana matatizo makubwa sana ya 'Akili / Uwendawazimu' huku 'Utafiti' uliofanywa na 'Taasisi' husika ukisema kuwa 'Waathirika' wakubwa ni Wanaume japo na Wanawake nao hawakusahaulika.

Je, kama hali iko hivi hakuna uwezekano kuwa huenda Rais atakayechaguliwa atakuwa Kachaguliwa na 'Wendawazimu' walioelezwa katika haya Magazeti mawili? Na je, hata hao Wagombea wenyewe nao hawamo katika huu 'Utafiti' kuwa huenda wakawa na 'Uwendawazimu' vile vile? Je, NEC hawaoni umuhimu kwa 'Kuusitisha' Kwanza Uchaguzi Mkuu hadi tutakapopona?
 
Back
Top Bottom