Nimefuatilia Kampeni za Rais Magufuli Jimbo la Hai kwa Mhe. Mbowe Hakika ni Propaganda, uongo, Siasa maji taka kumchafua Mhe. Mbowe.
Magufuli amesema kwa miaka yote 5 Mhe. Mbowe hakuna...
Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana.
SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana...
Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Ndg:Lengai Ole Sabaya amemuagiza meneja wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) wilayani humo Rashid Murith kwa kushirikiana na Kamanda wa Polisi wilaya OCD...
Mkuu wa wilaya ya Hai lengai Ole Sabaya amekabidhi gari ya Toyota Hiluxy double kibini kwa chama cha mapinduzi wilayani Hai ikiwa ni zawadi yake kwa chama hicho ili kitekeleze majukumu yake...
Habarini za wakati huu.
Leo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali C.A.G, ametoa Taarifa yake na kukabidhi kwa Mh. Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hasan. Katika...
Baada ya Uhuru serikali ilinunua ndege ndogo kwa ajili ya safari za Rais aina ya "Piper Apache" yenye usajili wa 5H-TBV hii ilikuwa mwaka 1965,tena 1966 Ndege aina ya "Aero Commander" yenye...
Bila kupoteza wakati kuna kipengele cha kupokezana kijiti kupitia udini katika nafasi ya Urais akitoka Muislam anakuja Mkristo, akitoka Mkristo anakuja Muislm
Kwa upande wangu sioni kama ina...
Ukaguzi wa mwaka 2019/2020 haujafanyika baada ya Mhe. Rais kufariki, ulifanyika akiwa hai na nakala ya vipande vya taarifa hii tayari vilishafika ofisini sema ni tqrehe tu yakuikabidhi ilikuwa...
Ameandika: MalisaGJ
Sio kwamba ripoti hizi zina mpya sana, bali kuna mtu mpya ambaye ameamua kuzifanyia kazi. Zamani zilikuwa zikisomwa zinawekwa kapuni maisha yanaendelea.
Kuna watu wanadhani...
Amani iwe nanyi!
Naomba niwashauri tu! Achaneni na wote waliokuwa wanapinga maovu ya Hayati Magufuli. Hawa ni pamoja na;
1. Fatma Karume
2. Jebra Kambole
3. Mdude Nyangali
Na wengineo wote...
Na. M. M. Mwanakijiji
Pamoja na kuwa Taifa limepoteza Rais wake kufuatia kifo cha Rais John Pombe Magufuli Chama cha Mapinduzi kinakabiliwa na changamoto ambayo kama chama hakijawahi kuipitia...
Aisee ama hakika nlikuwa naperuzi peruzi page ya Instagram ya Madam President, aisee nimeshitushwa na mambo mawili.
1. Mara zote tangu awe makamu wa Rais 2015, amekuwa akiji promote kwa hadhi ya...
Hakika leo hii imekuwa ni Jumapili njema maishani tangu mwaka 2015 sijawahi kupata siku mzuri na njema na yenye matumaini kama leo.
Hapa chini ni picha iliyo tolewa na Kipanya akionesha mitazamo...
Hapa kwenye hii picha,wapo watu mbalimbali. Ila tusaidiane kuizoom mpaka alipo Mh.Mwigulu Nchemba.
Tuambizane.....hili jicho ni la heri?
Mpaka ameng'ata lower lip......kuna usalama kwenye hili?
Wana JF,
Rais Kikwete amemtimua mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Bandari TPA Raphael Mollel kuanzia tarehe 16 Januari na badala yake Amemteua Profesa Msambichaka kuwa mwenyekiti mpya wa bodi...
Tunavyofahamu ukiwa Rais basi moja kwa moja ni Amiri jeshi mkuu wa majeshi.
Hii kauli ya CDF inaukakasi, mpaka najiuliza kulikuwa na nini nyuma ya pazia?
Wachambuzi na wabobezi wa mambo ya...
Huwa nashangaa sna watu kusema tulitoka mavumbini. Hivi ni kweli tulitoka mavumbini au tulitoka kwenye matumbo ya mama zetu kwa kutumia reproductive organ zao?
Au tumbo kwa lugha nyingine ni...
Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi (JWTZ), Lugalo
Anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye uteuzi wake umetenguliwa
UPDATE: 04-05-2020
Aliyekuwa Mkurugenzi...
Rais Samia Suluhu Hassan(SSH) ameanza kazi rasmi leo tarehe 28/03/2021 kwa kupoke taarifa ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali na taarifa ya TAKUKURU.
Huu ni mwanzo mzuri kuelekea kwenye uwazi...