Bongo tungedadisi na technologia nahisi 2022 tungeteneza bombadier wenyeweTunavyofahamu ukiwa Rais basi moja kwa moja ni Amiri jeshi mkuu wa majeshi.
Hii kauli ya CDF inaukakasi, mpaka najiuliza kulikuwa na nini nyuma ya pazia?
Wachambuzi na wabobezi wa mambo ya kisiasa na kijeshi hebu fafanueni hii kauli.
Hakuna jibu zaidi ya hilo. 100%Mimi naisi kwa sababu ya mfumo dume uliopo haijawahi kutokea rais mwanamke na kuwa amiri jeshi mkuu
Ukiwasikiliza kuanza na huyo CDF, Mawaziri na wwandamizi ndani ya CCM wote wanasema tutampa ushirikiano wa kutosha asiwe na wasi wasi wala shaka. Yaani ni kana kwamba wana option ya kutompa ushirikiano.Tunavyofahamu ukiwa Rais basi moja kwa moja ni Amiri jeshi mkuu wa majeshi.
Hii kauli ya CDF inaukakasi, mpaka najiuliza kulikuwa na nini nyuma ya pazia?
Wachambuzi na wabobezi wa mambo ya kisiasa na kijeshi hebu fafanueni hii kauli.
Hakuna ukakasi wala la nyuma ya pazia si mara ya kwanza kwa kiongozi wa jeshi kusema watamtii rais ni jambo la kawaida sana. Huenda tofauti mara hii kwa kua masikio yote ya taifa yalikua yapo kwake na ndio maana ukahisi ni kitu kigeni ila si jambo geni, nikutolee hofu ndugu.
😀😀We ulisikia wapi?
Pamoj na kwamb umeandika utumbo ili upate vilaza wenzio waku support pumba zako lkn naona hakuna aliejishughulisha ku support mata.pishi yako. Hapo ndo unapotakiwa kutumia akili yako kufikiri badala ya kuruhusu wapinzani kukushikia akili yako. Kw post hii hata zile bando za bure wanazopewa wachumia tumbo wenzako haupewiUkiwasikiliza kuanza na huyo CDF, Mawaziri na wwandamizi ndani ya CCM wote wanasema tutampa ushirikiano wa kutosha asiwe na wasi wasi wala shaka. Yaani ni kana kwamba wana option ya kutompa ushirikiano.
Mimi najua mtu akishakuwa Rais huhitaji kujisemea au kujigamba kuwa utampa ushirikiano. Najua ni automatically i a kuwa ni hivyo maana hauna option nyingine.
Sasa wanamuona Mh Rais Samia hassan kama vile hastahili kuwa hapo alipo wakati kafika kwa mujibu wa katiba ya nchi