Ole Sabaya anawafundisha vijana wengine nchini kwamba siasa bora ni siasa za kimafia

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana.

SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana wengine WAKIMWELEWA itakuwa balaa kubwa Sana.

Wakati nyerere aliwa groom wanasiasa Bora na kuliachia taifa hazina kubwa ya wanasiasa mahiri wewe utatuachia wanasiasa Aina ya makonda na SABAYA hili ni janga kwa taifa.

Bahati mbaya Sana utawala wako ni Kama unabariki matukio ya kihuni wanayofanyiwa wanasiasa wa upinzani.

Amin nakuambia mh Rais wanaolinda utulivu wa nchi hii sio dola ni wapinzani wanaovumilia kufanyiwa uhuni kila siku katika maisha Yao siku uvumilivu ukiwashinda tutapoteana.

Fikiria tukio la akwilina lilivyokuwa mwishowe mkambambikizia mzigo MBOWE hivi wale uvccm waliotumwa kuharibu mkutano wa mbowe wangekatwa shingo pale mngemlaumu Nani?

Amani ni tunda la haki.......!
 
Unajua ujinga wa Mbowe ndiyo husababisha matatizo kama ya Akwilina angekuwa na siasa za kistaarabu kusingekuwa na matukio ya ajabu hafai kuwa kiongozi
 
Shabiki wa simba kujifanya mwema na kushauri kocha wa yanga hafai atolewe.hapo wenye timu watafakari mara3 mamluki anataka goli wazi.
 
Amani ya tz inashikiliwa na uvumilivu wa Mbowe na sio dola ni mawwazo ya kizamani kuamini dola inayouwezo wa kuzuia hasira za watu.Haya makosa ndio waliyoyafanya Saddam, Gadaf hata Hussein Mubarak wakitegrmea dola badala ya kuwekeza kwa wananchi ilipofika climax si jeshi wala polisi viliweza wasaidia tofauti na kama wangewekeza kwa wananchi
 
hahaahaaa unajuwa ujinga wa mbowe ndiyo husababisha matatizo kama ya akwilina angekuwa na siasa za kistaarabu kusingekuwa na matukio ya ajabu hafai kuwa kiongozi
Hivi wewe wigwa, uko sawa kiakili?
Wigwa unamiliki familia au bado unamilikiwa na wazazi wako?

Kwa mtu mwenye akili timamu usingecoment kipumbavu ivi.
Haya yanayofanyika na uvccm,viongozi wake ni elimu kwa taifa Zima, Sasa ikiwa taifa linajifunza aliyoeleza mleta bandiko,huko mbele baba na mama yako, shangazi na mjomba wako na uko wako watabaki salama?

Kama bandiko linakuzidi uwezo liache lipite, litakuja lingine lenye level yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wametuharibia sana nchi yetu kimataifa na Siasa zao za kishamba za kulazimisha kupendwa.Ccm Siasa za hoja haiwezi tena
 
Wewe siasa za namna ile unazfurahia?nini mana ya ustaarabu wa kisiasa kwa mawazo yako?mtu mwenye hekima huonya juu ya hatari ya kesho na sio kushangilia juu ya leo KwasabAbu tu leo mfumo unafanya ale...wengi hatuna vyama lakn nchi ni ya watu wote..mnaoshabikia mfumo wa siasa hizi mumesahau kesho ya vzazi vyenu!!
Huu ni u binafsi uliopitiliza mimi naamini mtu makini mwenye watoto ama mwenye kua na ndoto za kua nao hawezi kushangilia mambo haya!!inauma sana!!

Tunaishi maisha ya ajabu, mleta mada upo upo sahihi. Hata ccm kwenyewe hakuna amani. Muulize mzee Makamba, Mawaziri, wabunge hayupo anaejiamini. Taifa linaelekea zama za giza za kina Musolin,Hitla nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe siasa za namna ile unazfurahia?nini mana ya ustaarabu wa kisiasa kwa mawazo yako?mtu mwenye hekima huonya juu ya hatari ya kesho na sio kushangilia juu ya leo KwasabAbu tu leo mfumo unafanya ale...wengi hatuna vyama lakn nchi ni ya watu wote..mnaoshabikia mfumo wa siasa hizi mumesahau kesho ya vzazi vyenu!!
Huu ni u binafsi uliopitiliza mimi naamini mtu makini mwenye watoto ama mwenye kua na ndoto za kua nao hawezi kushangilia mambo haya!!inauma sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna mpinzani mwenye akili mbovu kama mbowe mbona mbatia hayuko hivyo ulishamuona kwenye mambo ya ajabu kama mbowe? anafanya mikusanyiko inayoleta maafa ni mstaarabu anakubalika popote lakini mbowe jamani sionagi hata anachokitetea ye kila siku anawaza maandamano kutukana watu umesikiliza alivyokuwa anamtukana sabaya? eti mdogowake alikuwa ananyonya sijui wapi hivi kwenye madaraka unaulizia mtu alikuwa ananyoya wapi mpumbavu sana huyu dj
 
Wametuharibia sana nchi yetu kimataifa na Siasa zao za kishamba za kulazimisha kupendwa.Ccm Siasa za hoja haiwezi tena
sasa mbowe kwa akili zako za makalioni anahoja gani zaidi ya matusi tu hawezi hata kujibu hoja za watu wa jimbo lake
 
Amani ya tz inashikiliwa na uvumilivu wa Mbowe na sio dola ni mawwazo ya kizamani kuamini dola inayouwezo wa kuzuia hasira za watu.Haya makosa ndio waliyoyafanya Saddam, Gadaf hata Hussein Mubarak wakitegrmea dola badala ya kuwekeza kwa wananchi ilipofika climax si jeshi wala polisi viliweza wasaidia tofauti na kama wangewekeza kwa wananchi
mbowe ana uvumilivu gani ambaye kila siku anatuletea maafa anavumilia nini mavi?
 
Hivi wewe wigwa, uko sawa kiakili?
Wigwa unamiliki familia au bado unamilikiwa na wazazi wako?

Kwa mtu mwenye akili timamu usingecoment kipumbavu ivi.
Haya yanayofanyika na uvccm,viongozi wake ni elimu kwa taifa Zima, Sasa ikiwa taifa linajifunza aliyoeleza mleta bandiko,huko mbele baba na mama yako, shangazi na mjomba wako na uko wako watabaki salama?

Kama bandiko linakuzidi uwezo liache lipite, litakuja lingine lenye level yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
hatuwezi kuvumilia upumbavu wa mbowe hata siku moja anatupeleka wapi yeye kila siku anawaza aandamane tu anatukana kwenye mikutano hovyo mbona mbatia hatukani munamuendekeza huyo fala tu
 
Siasa za fujo zimewarudia chadema nao wanalalamika ila wamesahau kipindi cha Kikwete mikutano ya ccm walikuwa wanafanya nini hii sasa ndio karma siungi mkono kilichotokea ila kuna mda tuwe na kumbukumbu kwa tuliyoyafanya nyuma ili tusiumie rohoni
 
hakuna mpinzani mwenye akili mbovu kama mbowe mbona mbatia hayuko hivyo ulishamuona kwenye mambo ya ajabu kama mbowe? anafanya mikusanyiko inayoleta maafa ni mstaarabu anakubalika popote lakini mbowe jamani sionagi hata anachokitetea ye kila siku anawaza maandamano kutukana watu umesikiliza alivyokuwa anamtukana sabaya? eti mdogowake alikuwa ananyonya sijui wapi hivi kwenye madaraka unaulizia mtu alikuwa ananyoya wapi mpumbavu sana huyu dj
Hujajbu hoja yangu ....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za fujo zimewarudia chadema nao wanalalamika ila wamesahau kipindi cha Kikwete mikutano ya ccm walikuwa wanafanya nini hii sasa ndio karma siungi mkono kilichotokea ila kuna mda tuwe na kumbukumbu kwa tuliyoyafanya nyuma ili tusiumie rohoni
mkuu hawa wanasahaugu wanapenda kuonewa huruma tu achana nao ccm hoyeeeeeeee
 
Back
Top Bottom