Ushauri wangu kwa Jaji Feleshi na Biswalo Mganga

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Amani iwe nanyi!
Naomba niwashauri tu! Achaneni na wote waliokuwa wanapinga maovu ya Hayati Magufuli. Hawa ni pamoja na;

1. Fatma Karume
2. Jebra Kambole
3. Mdude Nyangali

Na wengineo wote. Napenda ku waambie wakati haupo upande wenu. Rudisheni uwakili wa Fatma karume haraka iwezekanavyo maana Ni kweli na hakika, wakati haupo upande wenu.

Ninavyoona Mhe. Samia Suluhu Hassan hataki ujinga na uonevu. Aliyekuwepo aliwabeba kikanda na kikabila na akawatumia kufanya uonevu Ila kwa Mama Samia hayupo hivyo. Sasa akili kumkichwa!
 
Hata Gabriel Malata, Solicitor General hafai. Amekuwa akilazimisha sana Serikali ishinde kesi hata kama hakuna base iliyo sahihi na matokeo yake wanaenda kuumia Watumishi na Wananchi.

Acheni hizo akina Malata!!!!!
Biswalo ni mpuuzi sana afsa usalama huyu ,kwann hakuruhusu akili yake ifanye kazi..mdogo wake ni afsa usalama wilaya Fulani nyanda zajuu kusini huko.....nimwerevu sana mdogowake nashangaa yeye
 
Hawezi kabisa kupona kwenye kutumika vibaya na utawala wa Hayati.

Machozi ya kina Kabendera, Tito Magoti, Mdude Nyangari na kina Godbless Lema lazima yaende nae. Hawezi kwepa haya.
Ametumika vibaya sana kutenda dhuluma huyu,kuweka ndani watu miaka eti ushahidi aujakamilika,nao wakae ndani wasubirie ushahidi kukamilika Ili waone machungu.
 
Back
Top Bottom