Kwanza tupeane pole ya msiba,KWA maana marehem alikua kiongonzi wetu wote kama Rais, that's jana nimeshinda kwenye tv mpaka macho yanauma ili kushudia safari yake ya mwisho,hivyo ni wazi mh...
Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande amesema bungeni ni mahali patakatifu na si pa kwenda kufanya mzaha na kuzungumza kuhusu uzazi wa mpango, utoaji mimba au mapenzi ya jinsia moja...
Wanabodi,
Kuna watu wanasema sema sana kumhusu Rais wetu Magufuli na hatua Tanzania tunazochukua dhidi ya janga la Corona.
Hii ni Makala ya Gazeti la The East Africa
We Should Tame Tanzania...
Nilikuwa nataka kujua tu kutoka kwa wenye uelewa zaidi.
Kwa kipindi hiki ambacho Makamo wa Rais hajatangazwa bado, ikitokea Rais aliye madarakani akakutwa na jambo linaweza pelekea kusitisha...
Habari wakuu, katika kuchunguza nimeona kuwa nchi nyingi zinakuwa na waziri mkuu au makamu wa Rais na si wote kwa pamoja. Na mara nyingi nchi zenye waziri mkuu ni zile ambazo hutawaliwa kifalme...
KWAKO MHESH MAMA SALMA KIKWETE - NAAMINI ULISHASTAAFU HIVYO HAIKUSTAHILI KWAKO KUUPOKEA UBUNGE!
Kwako Mhesh Mama Salma Kikwete First Lady mstaafu awamu ya nne!
Kwa maoni yangu naona...
Kupitia mtandao huu, napenda nitoe wazo/ushauri kwa Benki za kibiashara, hasa Benki za NMB na CRDB, benki ambazo zinaonekana kushindana kuvutia watumishi wa umma kupitishia mishahara yao katika...
Kupitia Ukurasa wake rasmi katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram, Rais Samia Suluhu Hassan ameandika haya:
"Leo tunapompumzisha mpendwa wetu Hayati Rais Dk John Pombe Joseph Magufuli kwenye...
Hili ndio swali ambalo wakati mwingine huwa najiuliza kama kweli ikitokea watu hawa wakatangulia mbele za haki kuna haja kweli,hasa kwa wapinzani,kuvaa mavazi meusi na kuanza kuomboleza!
Au...
Hii ni video ambayo Nape alifanyiwa mahojiano mwezi wa 2 wakati Bunge likiendelea, kuna wabunge waliokuwa wakianza kusema Magufuli aongezewe muda atake ama asitake.
Sasa maoni ya Nape ni kuwa...
Wana JF, poleni na majukumu, pia poleni kwa kuondokewa na Rais wetu!
Kwenu viongozi wa CHADEMA.
Baada ya uchaguzi, mkuu uliopita, mliitangazia Dunia kuwa, hamuyatambui matokeo, kutokana na hujuma...
Uongozi sio misuli au kubobea sana kwenye fani fulani. Uongozi hauhusiani na kunyanyua vitu vizito au kufanya vitu mwenyewe mwenyewe, bali uwezo wa kuunganisha watu na kuwasaidia kufikia malengo...
Kwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai, jibu tumelipata jana.
Kwa hali na mazingira tuliona jana ni...
Kazi iliyotukuka aliyoifanya Hayati Dokta John Joseph Pombe Magufuli tangia akiwa waziri hadi alipokuwa Rais wa awamu ya tano ni kubwa mno na inaonekana.
Ingawa amelala mauti, jina lake, maono...
Amini usiamini ndivyo itakavyokuwa,
Kama ambavyo imekuwa karibu Kila mara Jina la Hayati Mwl JKN kuwa ndio dira na mfano Bora Kwa kila kiongozi kuombea Kura hata kurejea hotuba zake Ili kujijenga...
Leo watu ni wengi wengi tena wengi sana sidhani kama itakapofika saa 11 jioni wakati wa kufunga zoezi hili kwa mkoa wa Dar es salaam watu watakuwa wamekwisha.
Ila siku ya leo akina mama wengi...
Kwa miaka mitano na ushee tukiwa chini ya Rais Magufuli tumeshuhudia utamaduni mpya ukijengeka Tanzania. Nchi imepoteza utaifa na sasa kuna ukabila, ukanda na ubaguzi wa kimaeneo! Kwa miaka mitano...
Huyu Mama yuko strong kwa uhalisia;
TAZAMA:
- Aliongoza vizuri sana Bunge la katiba.
- Amekuwa anawakilisha vizuri taifa kwenye forums za kimataifa za wakuu wa nchi.
- Anamwakilisha vizuri raisi...
Kila mtu anajua kilichotokea Dar wakati wa kumuaga JPM! Cha ajabu leo Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi Mh. Waziri Mkuu amevipongeza vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa kazi nzuri kipindi chote.
Jambo...
Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.