Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amkaanga Mbowe TRA

Jun 4, 2019
14
23
Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Ndg:Lengai Ole Sabaya amemuagiza meneja wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) wilayani humo Rashid Murith kwa kushirikiana na Kamanda wa Polisi wilaya OCD Lwelwe Mpina kufanikisha upatikanaji wa Magari Zaidi ya mawili yaliyo inginzwa nchini bila kufata taratibu.

Lengai amesema kwa Zaidi ya miaka minne Kampuni hiyo ya (Hai Kilimanjaro development initiateve) chini ya Mbunge wa Jimbo la Hai Freeman Mbowe(Mkurungezi wa Kampuni) na Clement Kwayu kwa kipindi chote hicho hawajawahi kulipa Kodi ya serikali inayo kadiriwa ni Zaidi ya Milioni Mia tano.
 
Hivi mkuu wa wilaya kawa lini msimamizi wa kodi
Kazi ya dc ni ulinzi na usalama katika wilaya
Nchi hii bana,wanasiasa wanatamani kazi za kitaalamu lakini interview za kazi wanaziogopa!!!
Anachokisema ni kweli au si kweli? LA msingi ndio hilo. Hata wewe ukibaini sehemu kuna mkwepa kodi au mwizi ni wajibu wako kumuibua kwa vyombo husika
 
Back
Top Bottom