Mh.Mwigulu hapa vipi?

CAGvsSPEAKER

JF-Expert Member
May 16, 2019
1,340
5,048
Hapa kwenye hii picha,wapo watu mbalimbali. Ila tusaidiane kuizoom mpaka alipo Mh.Mwigulu Nchemba.

Tuambizane.....hili jicho ni la heri?
Mpaka ameng'ata lower lip......kuna usalama kwenye hili?
ikulu_mawasiliano_161694028600376.jpg
 
Alikuwa na dokezo kwa muheshimiwa Rais akitafakari jinsi ya kukatiza mzunguko amfikishie.
 
Huyo jamaa ndie alieshauri kwamba takwimu za vifo na wagonjwa wa covid19 zisitangazwe hiyo imepelekea Nchi kutojua rate ya maambukizi na hatua za kuchukuliwa

Huyo jamaa ni Disaster watu dizaini hiyo huwa hawatakiwi kuvuka Ukuu wa Wilaya
Duh....
 
Back
Top Bottom