Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uongozi sio misuli au kubobea sana kwenye fani fulani. Uongozi hauhusiani na kunyanyua vitu vizito au kufanya vitu mwenyewe mwenyewe, bali uwezo wa kuunganisha watu na kuwasaidia kufikia malengo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai, jibu tumelipata jana. Kwa hali na mazingira tuliona jana ni...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Kazi iliyotukuka aliyoifanya Hayati Dokta John Joseph Pombe Magufuli tangia akiwa waziri hadi alipokuwa Rais wa awamu ya tano ni kubwa mno na inaonekana. Ingawa amelala mauti, jina lake, maono...
2 Reactions
97 Replies
7K Views
Amini usiamini ndivyo itakavyokuwa, Kama ambavyo imekuwa karibu Kila mara Jina la Hayati Mwl JKN kuwa ndio dira na mfano Bora Kwa kila kiongozi kuombea Kura hata kurejea hotuba zake Ili kujijenga...
20 Reactions
138 Replies
9K Views
Leo watu ni wengi wengi tena wengi sana sidhani kama itakapofika saa 11 jioni wakati wa kufunga zoezi hili kwa mkoa wa Dar es salaam watu watakuwa wamekwisha. Ila siku ya leo akina mama wengi...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Kwa miaka mitano na ushee tukiwa chini ya Rais Magufuli tumeshuhudia utamaduni mpya ukijengeka Tanzania. Nchi imepoteza utaifa na sasa kuna ukabila, ukanda na ubaguzi wa kimaeneo! Kwa miaka mitano...
19 Reactions
107 Replies
7K Views
Huyu Mama yuko strong kwa uhalisia; TAZAMA: - Aliongoza vizuri sana Bunge la katiba. - Amekuwa anawakilisha vizuri taifa kwenye forums za kimataifa za wakuu wa nchi. - Anamwakilisha vizuri raisi...
10 Reactions
31 Replies
4K Views
Kila mtu anajua kilichotokea Dar wakati wa kumuaga JPM! Cha ajabu leo Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi Mh. Waziri Mkuu amevipongeza vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa kazi nzuri kipindi chote. Jambo...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Kila kiongozi amekuwa akieleza kuwa JPM alikuwa anampigia simu,inawezekana kweli Ila isijekuwa mbinu ya kulinda kitumbua kwenye utawala mpya
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Alichosema Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo katika maadhimisho ya miaka 20 ya kifo cha baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mkoani Lindi. "Miaka 20 iliyopita baba wa taifa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Familia ya Hayati Dkt. John Magufuli imeiomba Serikali kuchunguza na kuchukua hatua dhidi ya watu waliojisajili mtandaoni kwa kutumia jina la Familia hiyo kwakuwa wanapotosha Jamii Ngusa Samike...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Kuna mambo nayaona hayapo sawa au huenda yasiwe sawa Katika mambo ambayo wanasiasa wanaanza kubugi ni kusema Chato uwe mkoa kisa Magufuli Yaani tumeshindwa kuipa Butiama kwa mwasisi wa Taifa...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa wanaokumbuka kilichoitokea KANU nchini Kenya baada ya Daniel arap Moi kuachia madaraka mwaka 2002 watakumbuka maneno haya kutegemea na CCM itakavyoendesha utawala wake baada ya kifo cha John...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
BURIANI RAIS MAGUFULI,TILL WE MEET AGAIN. Leo 18:30hrs 26/03/2021 Yapo maisha baada ya kifo,kuthibitisha hilo,turejee kufa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo,Death is not a full stop but a...
0 Reactions
2 Replies
932 Views
JK hivi karibuni baada ya kushambuliwa sana kuwa hakuwahi kufanya chochote enzi zake basi alivyokuwa akipata nafasi ya kuhutubia kidogo anaitumia hiyo hiyo nafasi kujitetea kwa kuyasema waliyowahi...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Hotuba nyingi za JPM alikuwa anapenda sana kutuambia sisi wanyonge kuwa tutamkumbuka! Hakuwa akisema tutakumbuka aliyofanya yeye mazuri. Ni sawa na kawaida kwa mfano Mwl anapowafundisha wanafunzi...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa ndugu Maimu amegoma kukiri kosa mbele ya DPP na hivyo kupoteza fursa ya kusamehewa. Maimu ameshtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi na...
7 Reactions
32 Replies
6K Views
Akihojiwa na kituo cha KTN news cha Kenya Tundu Lissu amesema huu ni wakati wa kuanza na ukurasa mpya kama taifa la Tanzania. Maana tayari tumepoteza Kiongozi. Tundu Lissu amesema kuwa mapema...
144 Reactions
398 Replies
47K Views
Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli aliagiza arejeshewe hati yake ya kusafiria na alimtamkia mara mbili...
7 Reactions
113 Replies
20K Views
Back
Top Bottom