the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,573
- 2,944
Bila kupoteza wakati kuna kipengele cha kupokezana kijiti kupitia udini katika nafasi ya Urais akitoka Muislam anakuja Mkristo, akitoka Mkristo anakuja Muislm
Kwa upande wangu sioni kama ina mantiki sana[emoji848]
Anaweza akatokea Rais mwenye sifa na vigezo sahihi lakini kwakuwa dini ni tofauti na inayotakiwa (hana sifa ktk udini) anakosa vigezo vya kuwania hiyo nafasi kutokana tu Mkristo na anaetakiwa afuate awe Muislim
Ushauri wangu hiki kipengele wakirejee tena kukitathmini, ipo siku watakuja kuangukia katika midomo ya mamba.
MUNGU BARIKI TANZANIA [emoji1241][emoji3590]